Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA ASUSIWA BETHIDEI

Gladness Mallya NI sheedah! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya mastaa wenzake kususia shughuli ya siku yake ya kuzaliwa ‘bethidei’. Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita katika Hoteli ya Sea Scape iliyopo Mbezi-Beach, Dar lakini cha ajabu hakuna staa hata mmoja aliyehudhuria zaidi ya timu yake ‘Team Nisha’ na muongozaji wake wa filamu, Leah...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA MTOTO WA DAVINA NISHA ATIA AIBU

Gladness Mallya na Imelda Mtema
POMBE si chai! Msemo huu ulitimia hivi karibuni baada ya staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kuzidiwa na kilevi na kuanza kushindana kukata mauno na kusababisha azingirwe na wanaume waliovutiwa naye. Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ akikata mauno. Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumatano iliyopita katika sherehe ya bethidei ya mtoto wa msanii...

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YAMRUDISHA KARRUECHE

Staa wa muziki wa Pop, nchini Marekani Christopher Maurice ‘Chris Brown. STAA wa muziki wa Pop, nchini Marekani Christopher Maurice ‘Chris Brown’ hivi karibuni alisherehekea bethidei yake kwa kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Karrueche Tran. Chanzo kinafunguka kuwa Chris alikuwa akitimiza miaka 26 akiwa kama baba wa mtoto mmoja, Royalty ambapo walianza kwa kuongozana na mrembo huyo katika onesho la ngumi kati...

 

10 years ago

GPL

JB BETHIDEI YANGU NI KANISANI TU!

Stori: Mayasa Mariwata LEGENDARY wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ amesema kuwa, miongoni mwa vitu ambavyo vimemkalia kushoto ni kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kufanya sherehe, yeye siku zote hufanyia kanisani kwa kufanya maombi. Legendary wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ Msanii huyo ambaye siku chache zilizopita alitimiza miaka kadhaa ambayo hakuwa tayari kuiweka wazi, alisema...

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA MGOMBEA URAISI MH!

Stori: MWANDISHI WETU, MBEYA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya aliyewahi kugombea nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, hivi karibuni alitimiza miaka 65 na katika kuadhimisha siku hiyo, wajukuu zake walimfanyia bonge la sapraizi, Ijumaa limetonywa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akifanyiwa 'bethidei...

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA WEMA KUFURU!

Mkurugenzi  wa Endless Fame Wema Sepetu akiwa amesimama mbele ya meza iliyokuwa imesheheni keki alizokuwa amendaliwa katika sherehe ya kuadhimisha   siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia ndani ya Ukumbi wa Wema Sepetu Hall, uliyopo ndani ya jengo jipya la Millenium Tower. Meneja wa Wema (kushoto), Martin Kadinda, akimsaidia kukata moja ya  keki zilizokuwa zimeandaliwa muda mfupi kabla ya kuanza kuwalisha ndungu jamaa na...

 

11 years ago

GPL

ISABELA ALA BETHIDEI KITANDANI

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ alikula sherehe ya bethidei yake (Aprili 15, mwaka huu) akiwa kitandani baada yakuugua Ugonjwa wa Homa ya Matumbo (Typhoid). Msanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’akiwa katika matanuzi. Bela alisema kabla ya kuugua alipanga kufanya bonge la pati lakini bahati mbaya mambo yakaenda ndivyo sivyo. “Sina ujanja, acha nile...

 

11 years ago

GPL

BETHIDEI YA WASTARA TAMU, CHUNGU

Stori: Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha
BETHIDEI ya msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma imegeuka kuwa maumivu baada ya kumkumbuka aliyekuwa mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ ukumbini. Shabiki akimpongeza Wastara kwa kumbeba mgongoni. Sherehe hiyo ya kuzaliwa ya nyota huyo ilifanyika wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Dar West uliopo Tabata jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo...

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA JACK DUSTAN KUFURU!

Imelda mtema Mrembo aliyepata jina kupitia Shindano la Maisha Plus, Season Two, Jacqueline Dustan amefanya kufuru kwenye pati yake ya kuzaliwa (bethidei) iliyofanyika kwenye Hoteli ya Peacock jijini Dar, wikiendi iliyopita. Jacqueline Dustan akiwa katika pozi. Sherehe hiyo iliyokuwa na vyakula na vinywaji vya kufa mtu, ilihudhuriwa na ‘mashosti’ mbalimbali wa Jack huku ikiendeshwa na mtangazaji maarufu Bongo,...

 

10 years ago

Habarileo

Muhongo arudisha fomu akisherehekea bethidei

Profesa Sospeter Muhongo.ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuchagulia na CCM kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania, huku akidai hatakiwi kuulizwa kuhusiana na masuala ya Escrow kwani hakutajwa mahali popote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani