BETHIDEI YA MGOMBEA URAISI MH!
![](http://api.ning.com:80/files/HjAnC3puPQ0hpbUazpq3klQqfQk*CuNRRCOiylV*fdBKXx86KbgGzAVxAINUUdtzXoGXI14ClGRc9NEg9KfMoFuk3QP0jiUy/BACKIJUMAA.jpg)
Stori: MWANDISHI WETU, MBEYA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya aliyewahi kugombea nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, hivi karibuni alitimiza miaka 65 na katika kuadhimisha siku hiyo, wajukuu zake walimfanyia bonge la sapraizi, Ijumaa limetonywa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akifanyiwa 'bethidei...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Jan
URAISI
10 years ago
Bongo Movies04 Jun
Mzee Jangala Kugombea Uraisi
Staa mkongwe wa filamu nchini, Bakari Mbelemba maarafu kwa jina la Mzee Jangala ameweka wazi kua atatumia tamasha la ngoma za asili kutangaza nia yake ya kugombea uraisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Tamasha hilo amabalo litafanyika tarehe 13 juni kwenye uwanja wa Taifa na Makamu wa raisi DR Mohamed Gharib Bilal amealikwa kuwa mgeni rasmi.katiaka mahojiano mzee Jangala alisema”nimepanga kutangaza nia ya kugombea uraisi siku hiyo kwenye uwanja wa taifa mbele ya makamu wa raisi, najua...
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Afrika na Blatter uraisi FIFA
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-bjK5j6_un8M/VWsrxTS0-EI/AAAAAAAAB1o/tLmx6FFjsqI/s72-c/Lowassa-Matumaini.jpg)
HIVI NDIVYO LOWASSA ALIVYOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAISI
![](http://2.bp.blogspot.com/-bjK5j6_un8M/VWsrxTS0-EI/AAAAAAAAB1o/tLmx6FFjsqI/s400/Lowassa-Matumaini.jpg)
Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid katikati ya Jiji la Arusha ulishuhudia kwa mara nyingine kujaa kwa watu ambao walikuja kushuhudia Mbunge huyo akitangaza nia ya kugombea Urais mwaka...
10 years ago
VijimamboTofauti Kati ya Mrema na Lowasa Kwenye Ugombea Uraisi
Tofauti kati ya Mrema na Lowasa wote wakiwa wametokea CCM na wote wakiwa wagombea uraisi kupitia upinzani walikoingia bila kujua sera za vyama walivyoingia kwa kuwa waliingia chap chap ni kama ifuatavyo1.Mrema alikuwa akiungwa na makundi ya wasomi waliobobea wakiwemo maprofesa walikuwa tayari kumbeba na kusukuma gari lake kuonyesha upendo wao kwake.Lowasa wasomi wamekaa naye mbali wengi hata kumsikia hawataki kuanzia wasomi wakubwa hadi wadogo.Slaa alikuwa kipenzi cha wasomi
2.Mrema aliungwa...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/BBIzZGYFuXs/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog31 May
DC Mhita awahamasisha wanawake Mufindi kugombea nafasi za Udiwani, Ubunge na Uraisi
![](http://3.bp.blogspot.com/-IX900rs5XnY/VWnT1J_wx8I/AAAAAAAB9Y4/plxeS1RrqTc/s640/DSC_0263.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-uANnM64RMMY/VWnSOHczWtI/AAAAAAAB9YI/KV9kPhAU4dc/s640/DSC_0242.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-9iQdVgD7Kbs/VepIvocO0VI/AAAAAAABgFk/BbGHOKLg2Dw/s72-c/Kasim%2BMsham.jpg)
MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU"
![](http://2.bp.blogspot.com/-9iQdVgD7Kbs/VepIvocO0VI/AAAAAAABgFk/BbGHOKLg2Dw/s640/Kasim%2BMsham.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-5eDMxtuCzGE/VepIm1dnDxI/AAAAAAABgFE/xIvF9zITspE/s640/umati%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mwdG9uRX5fY/VepIvXFuVjI/AAAAAAABgFg/_onu9TBogyk/s640/umati.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Mgombea urais mteule John Magufuli amteua Samiah Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza