Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI NDIVYO LOWASSA ALIVYOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAISI


Edward Lowassa akihutubiaMay 30 2015 inakuwa siku ambayo inaingia kwenye Historia kubwa kwenye ishu za siasa Tanzania.. bado miezi michache ufanyike uchaguzi mkuu, mmoja ya watu ambao walitajwa sana na kuwa kwenye headlines kubwa kwenye vyombo  vya habari ni Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.
Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid katikati ya Jiji la Arusha ulishuhudia kwa mara nyingine kujaa kwa watu ambao walikuja kushuhudia Mbunge huyo akitangaza nia ya kugombea Urais mwaka...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA WAKATI MH. LOWASSA ALIPOKUWA AKIELEKEA KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID KUTANGAZA NIA YA URAIS

 Sehemu ya Waendesha Bodaboda wa Jijini Arusha wakiusubiria msafara wa Mh. Lowassa, maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Arusha.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Wadau wakichukua taswira ya Mh. Lowassa wakati alipotika eneo hilo. Abiria kwenye basi pia hawakua nyuma kuchua Taswira zako pale walipomuona Mh. Lowassa akiwa kwenye gari lake.
 Kila mmoja alikuwa na shauku ya kumuona na kumsabahi kama hivi. Sehemu ya wakazi wa Arusha wakimshangilia Mh. Lowassa alipokuwa akipita katika barabara ya Sokoine,...

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA JIJINI ARUSHA WAKATI MH. LOWASSA ALIPOKUWA AKIELEKEA KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID KUTANGAZA NIA YA URAIS

 Sehemu ya Waendesha Bodaboda wa Jijini Arusha wakiusubiria msafara wa Mh. Lowassa, maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Arusha.
 Abiria kwenye basi pia hawakua nyuma kuchua Taswira zako pale walipomuona Mh. Lowassa akiwa kwenye gari lake.
 Sehemu ya wakazi wa Arusha wakimshangilia Mh. Lowassa alipokuwa akipita katika barabara ya Sokoine, Jijini Arusha wakati alielekea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kutangaza nia.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

Kinana Apata Wasaa Wa Kuongea Na Lowassa. Hivi Ndivyo ilivyokuwa

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na aliyekuwa muomba ridhaa ya CCM kuwania Urais, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, baada ya kumfuata alikokuwa ameketi wakati wa mkutano huo

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa azidi kuhamasika juu ya kutangaza nia ya kugombea urais

  *awahimiza wananchi kujiandikisha kwa wingi daftari la wapiga kura

Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwasalimia mamia ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa Dodoma, waendesha boda boda na wamachinga wa mkoa huo walioandamana hii leo hadi nyumbani kwake Area D mjini Dodoma kumuomba pindi wakati ukifika kwa mujibu wa taratibu za chama cha Mapinduzi (CCM) asisite kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais.

Lowassa amesema anazidi kuhamasika kufuatia maombi ya...

 

10 years ago

GPL

STEPHEN WASSIRA ALIVYOTANGAZA NIA JIJINI MWANZA JANA

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira akitangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Watu zaidi ya 700 waandamana kwenda kwa Lowassa kumshawishi atangaze nia ya kugombea Urais 2015

SAM_4290

Makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la Monduli  hii leo.

SAM_4318

Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la Monduli.

SAM_4337

Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi Waziri Mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha...

 

10 years ago

Michuzi

MH.Mwigulu alivyotangaza nia ya kuwania urais mkoani Dodoma jioni ya leo.

  Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwapungia mkono baadhi ya wafuasi wake waliojitokeza kwa wingi,kumsikiliza wakati akitamka kutangania nia ya kugombea kiti cha uraui kupitia CCM

  Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakimsikiliza kwa makini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea kiti cha Urais kupitia chama cha CCM Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Dodom mapema jioni ya leo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee Jangala Kugombea Uraisi

Staa  mkongwe wa filamu nchini, Bakari Mbelemba maarafu kwa jina la Mzee Jangala ameweka wazi kua atatumia tamasha la ngoma za asili kutangaza nia yake ya kugombea uraisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Tamasha hilo amabalo litafanyika tarehe 13 juni kwenye uwanja wa Taifa na Makamu wa raisi DR Mohamed Gharib Bilal amealikwa kuwa mgeni rasmi.katiaka mahojiano mzee Jangala alisema”nimepanga kutangaza nia ya kugombea uraisi siku hiyo kwenye uwanja wa taifa mbele ya makamu wa raisi, najua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani