Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee Jangala Kugombea Uraisi

Staa  mkongwe wa filamu nchini, Bakari Mbelemba maarafu kwa jina la Mzee Jangala ameweka wazi kua atatumia tamasha la ngoma za asili kutangaza nia yake ya kugombea uraisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Tamasha hilo amabalo litafanyika tarehe 13 juni kwenye uwanja wa Taifa na Makamu wa raisi DR Mohamed Gharib Bilal amealikwa kuwa mgeni rasmi.katiaka mahojiano mzee Jangala alisema”nimepanga kutangaza nia ya kugombea uraisi siku hiyo kwenye uwanja wa taifa mbele ya makamu wa raisi, najua...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mzee Jangala: Msinibeze, nautaka urais

Mwigizaji mkongwe nchini, Bakari Mbelemba, maarufu kwa jina la kisanii la Mzee Jangala, amesema atatumia Tamasha la Ngoma za Asili “kutangaza nia ya kugombea urais” wa Jamhuri ya Muungano.

 

9 years ago

Mtanzania

Mzee Jangala: Nilitaka mwanangu awe mwanajeshi

jangala23NA CHRISTOPHER MSEKENA

MKONGWE wa filamu za vichekesho nchini, Bakari Mbelemba maarufu kama Mzee Jangala, amesema alitamani mwanaye wa kwanza wa kiume awe mwanajeshi badala ya kuwa kwenye fani yake ya sanaa.

Mzee Jangala alisema enzi zao walikuwa wanaamini zaidi ukiwa na mtoto mwanajeshi kuna mambo mbalimbali atakuwa anaweza kuyatimiza kama atakuwa na nafasi kubwa.

“Chaguo la kwanza nilitaka mwanangu awe mwanajeshi, kama alikuwa anataka kuwa daktari au kufanya sanaa basi nilipenda avifanye...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mzee Jangala: Alitamani Mtoto Wake Afanye Kazi Hii..

MKONGWE wa filamu za vichekesho nchini, Bakari Mbelemba maarufu kama Mzee Jangala, amesema alitamani mwanaye wa kwanza wa kiume awe mwanajeshi badala ya kuwa kwenye fani yake ya sanaa.

Mzee Jangala alisema enzi zao walikuwa wanaamini zaidi ukiwa na mtoto mwanajeshi kuna mambo mbalimbali atakuwa anaweza kuyatimiza kama atakuwa na nafasi kubwa.

“Chaguo la kwanza nilitaka mwanangu awe mwanajeshi, kama alikuwa anataka kuwa daktari au kufanya sanaa basi nilipenda avifanye akiwa jeshini lakini...

 

10 years ago

Africanjam.Com

HIVI NDIVYO LOWASSA ALIVYOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAISI


Edward Lowassa akihutubiaMay 30 2015 inakuwa siku ambayo inaingia kwenye Historia kubwa kwenye ishu za siasa Tanzania.. bado miezi michache ufanyike uchaguzi mkuu, mmoja ya watu ambao walitajwa sana na kuwa kwenye headlines kubwa kwenye vyombo  vya habari ni Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.
Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid katikati ya Jiji la Arusha ulishuhudia kwa mara nyingine kujaa kwa watu ambao walikuja kushuhudia Mbunge huyo akitangaza nia ya kugombea Urais mwaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Mhita awahamasisha wanawake Mufindi kugombea nafasi za Udiwani, Ubunge na Uraisi

Mkuu wa  wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita akifungua  kongamano la  Umoja wa  wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mufindi jana. Mkuu  wa  wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita wa  pili  kulia akiwa na viongozi mbali mbali wa UWT mkoa na wilaya ya Mufndi na Iringa vijijini kutoka kushoto ni mwenyekiti  wa UWT mkoa Bi Zainabu Mwamwindi ,mwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Bi Marcelina Mkini katibu  wa wazazi  mkoa wa Iringa Bw  Geofrey Kavenga  na mwenyekiti  wa UWT wilaya ya Iringa vijijini Bi...

 

10 years ago

Mwananchi

URAISI

Tunaendelea kusikia majina ya watu waliotamka au wanaotajwa kutaka kugombea urais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mengi kati ya majina haya ni mzaha mwingine mkubwa unaotunyemelea baada ya mizaha mingi ambayo tunahangaika nayo katika maisha ya kila siku.

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA MGOMBEA URAISI MH!

Stori: MWANDISHI WETU, MBEYA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya aliyewahi kugombea nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, hivi karibuni alitimiza miaka 65 na katika kuadhimisha siku hiyo, wajukuu zake walimfanyia bonge la sapraizi, Ijumaa limetonywa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akifanyiwa 'bethidei...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika na Blatter uraisi FIFA

Afrika imesisitiza msimamo wake wa kumchagua Sepp Blatter katika nafasi ya urais katika uchaguzi wa FIFA.

 

10 years ago

Vijimambo

Tofauti Kati ya Mrema na Lowasa Kwenye Ugombea Uraisi


Tofauti kati ya Mrema na Lowasa wote wakiwa wametokea CCM na wote wakiwa wagombea uraisi kupitia upinzani walikoingia bila kujua sera za vyama walivyoingia kwa kuwa waliingia chap chap ni kama ifuatavyo1.Mrema alikuwa akiungwa na makundi ya wasomi waliobobea wakiwemo maprofesa walikuwa tayari kumbeba na kusukuma gari lake kuonyesha upendo wao kwake.Lowasa wasomi wamekaa naye mbali wengi hata kumsikia hawataki kuanzia wasomi wakubwa hadi wadogo.Slaa alikuwa kipenzi cha wasomi
2.Mrema aliungwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani