Mzee Jangala: Msinibeze, nautaka urais
Mwigizaji mkongwe nchini, Bakari Mbelemba, maarufu kwa jina la kisanii la Mzee Jangala, amesema atatumia Tamasha la Ngoma za Asili “kutangaza nia ya kugombea urais†wa Jamhuri ya Muungano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies04 Jun
Mzee Jangala Kugombea Uraisi
Staa mkongwe wa filamu nchini, Bakari Mbelemba maarafu kwa jina la Mzee Jangala ameweka wazi kua atatumia tamasha la ngoma za asili kutangaza nia yake ya kugombea uraisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Tamasha hilo amabalo litafanyika tarehe 13 juni kwenye uwanja wa Taifa na Makamu wa raisi DR Mohamed Gharib Bilal amealikwa kuwa mgeni rasmi.katiaka mahojiano mzee Jangala alisema”nimepanga kutangaza nia ya kugombea uraisi siku hiyo kwenye uwanja wa taifa mbele ya makamu wa raisi, najua...
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Mzee Jangala: Nilitaka mwanangu awe mwanajeshi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKONGWE wa filamu za vichekesho nchini, Bakari Mbelemba maarufu kama Mzee Jangala, amesema alitamani mwanaye wa kwanza wa kiume awe mwanajeshi badala ya kuwa kwenye fani yake ya sanaa.
Mzee Jangala alisema enzi zao walikuwa wanaamini zaidi ukiwa na mtoto mwanajeshi kuna mambo mbalimbali atakuwa anaweza kuyatimiza kama atakuwa na nafasi kubwa.
“Chaguo la kwanza nilitaka mwanangu awe mwanajeshi, kama alikuwa anataka kuwa daktari au kufanya sanaa basi nilipenda avifanye...
9 years ago
Bongo Movies22 Oct
Mzee Jangala: Alitamani Mtoto Wake Afanye Kazi Hii..
MKONGWE wa filamu za vichekesho nchini, Bakari Mbelemba maarufu kama Mzee Jangala, amesema alitamani mwanaye wa kwanza wa kiume awe mwanajeshi badala ya kuwa kwenye fani yake ya sanaa.
Mzee Jangala alisema enzi zao walikuwa wanaamini zaidi ukiwa na mtoto mwanajeshi kuna mambo mbalimbali atakuwa anaweza kuyatimiza kama atakuwa na nafasi kubwa.
“Chaguo la kwanza nilitaka mwanangu awe mwanajeshi, kama alikuwa anataka kuwa daktari au kufanya sanaa basi nilipenda avifanye akiwa jeshini lakini...
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Mzee Makamba atangaza kumnadi January urais 2015
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-XfveG0Z3dzw/VaZx4wTRCFI/AAAAAAADx9Y/j2dA_Xdes_4/s72-c/nec2.jpg)
Leo Mzee Kingunge kaongea na Vyombo vya Habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.
![](http://1.bp.blogspot.com/-XfveG0Z3dzw/VaZx4wTRCFI/AAAAAAADx9Y/j2dA_Xdes_4/s640/nec2.jpg)
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo chakuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu ktk kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi isiyowahusukikatiba - kukata majina ya wagombe.
Kingunge amesema Kamati ya Maadili ya CCM yenyewe imekosa maadili yakuheshimu katiba na taratibu za chama.Amesisitiza Kamati ya Maadili haikuwa na madaraka ya kupeleka majina 5kwenye kamati kuu, ambayo ilipaswa kuhoji wagombea wote 38.
Kwa mujibu wa Kingunge, Kuna...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-YitgcuW3sUk/VLoUy8ndR0I/AAAAAAAG97w/EUqGzNoEQjI/s72-c/IMG_1950.jpg)
DKT. SHEIN AONGOZA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MUASISI WA CCM MZEE MAKAME MZEE SULEWIMAN,UNGUJA
![](http://1.bp.blogspot.com/-YitgcuW3sUk/VLoUy8ndR0I/AAAAAAAG97w/EUqGzNoEQjI/s1600/IMG_1950.jpg)
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’
MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s72-c/16.jpg)
RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s1600/16.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1KVXjmxkPmM/U5XUplUezCI/AAAAAAAFpLI/rz-rCnDTMfU/s1600/17.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UjNnWqonmuI/U5XWQy_pcAI/AAAAAAAFpP4/-ElXwHuRzVk/s1600/_5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-gwrGe28cIOU/U5XWQZ_LE-I/AAAAAAAFpPw/1rkRJa3Ip8s/s1600/_4.jpg)