Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baregu aonya kuhusu Bunge Maalumu

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu amesema, Bunge maalumu lijao la Katiba linaweza kugeuka kituko iwapo wajumbe wake wataweka mbele masilahi ya vyama vya kisiasa na kuacha misingi ya kujenga taifa moja na lenye mshikamano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

TEC yatoa tamko kuhusu Bunge Maalumu la Katiba

6

Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Tarcisius Ngalalekumtwa.

Na Mwandishi wetu

Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania limetoa tamko la kuwataka wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba(BMK) kuwatendea haki watanzania kwa kujadili maoni ya katiba yaliyowasilishwa na tume iliyoundwa ya kukusanya maoni na kuacha kuacha ubinafsi uwe wa mtu mmoja au wa vikundi kwa ajili ya kuunda katiba bora kwa watanzania.

Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

BUNGE LAANDAA SEMINA MAALUMU KUHUSU UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI WA MAWASILIANO NA NAMNA BORA YA KUPOKEA MAONI YA WADAU WAKATI WA KAMATI ZAKE

  Mkurugennzi msaidizi katika Idara ya Kamati kutoka Ofisi ya Bunge Ndg. Angumbwike Ng'wavi akitoa Mada kuhusu umuhimu kuwa na taarifa za  pamoja za kibunge kwa ajili ya wadau mbalimbali wa Bunge  na namna ya utekelezaji wake wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Bunge kutoka Serikarini na taasisi binafisi. Semina hiyo imeandaliwa na Bunge kupitia mradi wake wa kuwajengea Wabunge na Watumishi uwezo unaofadhiliwa na UNDP.  Maafisa wa Serikali pamoja na Wadau mbalimbali wa Bunge...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nkurunziza aonya kuhusu Al Shaabab

Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi amejitokeza kwa mara ya kwanza tangu jaribio la mapinduzi na kuonya kuwa kuna tishio la shambulizi la Al shabaab

 

10 years ago

Mwananchi

Pengo aonya kuhusu urais

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, ambaye alizua kizaazaa bada ya kutofautiana na maaskofu wenzake kuhusu Kura ya Maoni, jana alizungumzia suala la urais, akivitaka vyama vya siasa kuwaengua makada wake wanaotumia fedha kusaka urais.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mshauri wa WHO aonya kuhusu Ebola

Mshauru mashuhuri wa WHO ameonya kuwa visa vipya vya ugonjwa wa Ebola vinatarajiwa miongoni mwa maafisa wa afya

 

11 years ago

Habarileo

Pengo aonya Bunge la Katiba

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali PengoASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kwa mara ya kwanza amezungumzia Bunge Maalum la Katiba na kuwaonya Wajumbe wa Bunge hilo kutowagawa Watanzania wakati wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

RC Njombe aonya viongozi kuhusu lumbesa

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Rehema Nchimbi amewataka viongozi mkoani hapa na Iringa kuacha tabia ya kudai nyongeza wanaponunua mazao ya wakulima kwa sababu hiyo ni lumbesa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe aonya machafuko Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Khatibu Said Haji amesema Tanzania ipo hatarini kuingia katika mgogoro mkubwa wa kikatiba, kama Serikali ya CCM itaendelea kushinikiza muundo wa Serikali mbili.

 

11 years ago

Habarileo

Padri aonya wabunge kuhusu Katiba mpya

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kutokubali kuvurugwa na vyama vyao vya siasa, wanapoandaa mchakato wa Katiba mpya, kwani kwa kufanya hivyo wanavuruga amani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani