H BABA AUGUA GHAFLA, ASHINDWA KUMUAGA TYSON
STAA wa Bongo Fleva,Hamis Baba ameugua ghafla jana na kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo,marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades,Kinondoni,Dar.
Aidha msanii alisema kuwa baada ya hali hiyo kumtokea alikimbizwa hospitalini. Kupitia Account yake ya Instagram aliandika hivi… Naumwa sana nilikuwa najiandaa kwenye kumuaga mwenzetu Tyson nikasikia kizunguzungu nikaanguka… hapa nipo hospitalini…
CloudsFM
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania