Mzee auawa, azikwa uvunguni kitandani
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya mauaji ya Pascal Luwi (70) , mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kombora Kijiji cha Ubiri Kata ya Mhonda Tarafa ya Turiani wilayani Mvomero na kumzika uvunguni mwa kitanda chumbani mwake.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLGAIDI WA KISOMALI AUAWA, AZIKWA KWA SIRI
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa, Pwani
MTU ambaye ametajwa kuwa ni gaidi mwenye asili ya Kisomali (jina lake halikupatikana) ambaye imeelezwa alijeruhiwa kwa risasi katika mapambano kati ya magaidi na askari wa Kituo cha Polisi Stakishari, Dar Julai 12, mwaka huu, amefariki dunia na kuzikwa kwa siri, Uwazi liko kazini. Â ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1OsgsTp ...
11 years ago
GPLMZEE GURUMO AZIKWA
Mwili wa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo ukiwekwa eneo la makaburi ya Masaki-Kasarawe tayari kwa maziko. Mwili wa Mzee Gurumo umezikwa makaburi ya Masaki-Kisarawe, Pwani ambapo mamia ya watu wamehudhuria maziko ya nguli huyo wa muziki wa dansi aliyefariki dunia juzi Jumapili Aprili 13, 2014.Â
10 years ago
BBCSwahili26 Oct
Mzee azikwa akiwa ameketi kenya
Je,katika utamaduni wenu kiongozi wa kijiji,mganga wa kienyeji na mkulima mashuhuri huzikwa vipi?.
11 years ago
GPLMZEE SMALL AZIKWA, AACHA LAANA
Ustadhi akimuombea marehemu dua ya mwisho baada ya kuuhifadhi mwili wake kaburini. Stori: MWANDISHI WETU
HATIMAYE aliyekuwa nguli wa sanaa za maigizo Bongo, Said Ngamba ‘Mzee Small’ amezikwa jana katika Makaburi ya Tabata-Segerea jijini Dar es Salaam huku akiacha laana kwa tasnia ya maigizo.
Mzee Small alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako alilazwa...
11 years ago
GPLPICHA YA KWANZA: MZEE SMALL AZIKWA MAKABURI YA SEGEREA, DAR
Mwili wa Mzee Small ukiwa kaburini. HATIMAYE mkongwe wa maigizo nchini, Mzee Small amezikwa katika makaburi ya Segerea, Dar ambapo mamia ya watu wamehudhuria maziko yake. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)
10 years ago
GPLSHEIKH ALI MZEE COMORIAN AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA WANGAZIJA, JIJINI DAR LEO
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa tatu kushoto),Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim (wa nne kulia),Sheik Mkuu wa Tanzania,Shaaban Simba (wa pili kushoto) na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mussa Salum (wa tatu kulia) wakijumuika pamoja na Waombolezaji wengine kwenye ibada ya Mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian,katika makaburi ya Wangazija mtaa wa Bibi Titi Mohamed,jijini Dar es salaam mapema...
10 years ago
MichuziSheikh Ali Mzee Comorian azikwa leo kwenye Makaburi ya Wangazija,jijini Dar leo
NA CHALILA KIBUDA ,GLOBU YA JAMII DAR
Mamia ya watu wameshiriki katika mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian yaliyofanyika leo katika makaburi ya Wangazija yaliyopo katika barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam.
Mazishi hayo yameongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili ,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kusema kifo cha sheikh huyo ni mipango ya mungu kwa kila mtu safari yake ipo.
Alisema kifo cha sheikh kinatakiwa kuenziwa kwa mema aliyoyafanya katika uhai wake katika kupigania...
Mamia ya watu wameshiriki katika mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian yaliyofanyika leo katika makaburi ya Wangazija yaliyopo katika barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam.
Mazishi hayo yameongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili ,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kusema kifo cha sheikh huyo ni mipango ya mungu kwa kila mtu safari yake ipo.
Alisema kifo cha sheikh kinatakiwa kuenziwa kwa mema aliyoyafanya katika uhai wake katika kupigania...
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Mtoto aliyefichwa uvunguni alazwa ICU
Uchunguzi wa awali wa afya ya mtoto, Devota Malole (7) aliyefichwa ndani ya uvungu wa kitanda kwa miaka mitano na mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Sarah Mazengo imebainika kuwa mtoto huyo ana utapiamlo mkali, malaria na upungufu wa damu.
10 years ago
GPLDENTI AMUUA MWANAYE, AMFICHA UVUNGUNI
MWANAFUNZI wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya, Vena Mtati (27) (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa madai mazito ya kumuua mtoto wake kwa kumnyonga, kumtumbukiza kwenye mfuko wa rambo na kuutia ndani ya mfuko wa salfeti kisha kuuficha chini ya kitanda, Uwazi lina habari ya motomoto! Vena Mtati akitahayari baada ya kutiwa mbaloni na polisi. Tukio hilo la kikatili ambalo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania