Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DENTI AMUUA MWANAYE, AMFICHA UVUNGUNI

MWANAFUNZI wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya,  Vena Mtati (27) (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa madai mazito ya kumuua mtoto wake kwa kumnyonga, kumtumbukiza kwenye mfuko wa rambo na kuutia ndani ya mfuko wa salfeti kisha kuuficha chini ya kitanda, Uwazi lina habari ya motomoto! Vena Mtati akitahayari baada ya kutiwa mbaloni na polisi. Tukio hilo la kikatili ambalo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Baba amuua mwanaye kwa adhabu kali

Simanzi, vilio na majonzi vilitawala Kijiji cha Misiri, Kata ya Bugarama, wilayani Geita, kutokana na tukio la kifo cha mtoto, John Wiliam (4) aliyefariki baada ya kupewa adhabu na baba yake mzazi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mganga amuua mwanaye kisa kazaliwa katanguliza makalio

MTOTO Regina Geofrey (miezi 14), ameuawa kwa kunyongwa na baba yake mzazi Geofrey Kilingwa ‘Simbaiwe’ (27), kwa madai alizaliwa akiwa ametanguliza makalio yake. Baba wa binti huyo ambaye pia ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyefichwa uvunguni alazwa ICU

Uchunguzi wa awali wa afya ya mtoto, Devota Malole (7) aliyefichwa ndani ya uvungu wa kitanda kwa miaka mitano na mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Sarah Mazengo imebainika kuwa mtoto huyo ana utapiamlo mkali, malaria na upungufu wa damu.

 

9 years ago

Habarileo

Mzee auawa, azikwa uvunguni kitandani

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya mauaji ya Pascal Luwi (70) , mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kombora Kijiji cha Ubiri Kata ya Mhonda Tarafa ya Turiani wilayani Mvomero na kumzika uvunguni mwa kitanda chumbani mwake.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mtoto aliyefichwa uvunguni ana nafuu’

Hali ya mtoto Devota Malole (7) mwenye ulemavu wa viungo na ambaye inadaiwa alifichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa miaka mitano, imeanza kuimarika lakini bado madaktari wanaendelea kufuatilia afya yake kwa karibu.

 

11 years ago

GPL

UNDANI MTOTO ALIYEFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA

Stori: DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo. Mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Mtoto afichwa uvunguni kwa miezi mitatu

Picha na maktaba SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo. Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msifiche uvunguni kelele za ufisadi, UKAWA waambiwa

SAM_0696

Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini, Mwalimu Mussa Ramadhani Sima, akiomba kura kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika maeneo ya soko kuu mjini Singida.

SAM_0687

SAM_0660

Mkereketwa maarufu wa CCM jimbo la Singida mjini na mkazi wa Majengo, Mohammed Salum Masanja, akiwa na mtoto wake wa kiume kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika maeneo ya soko kuu. Mohammed amedai kuwa kila mkutano wa kampeni za CCM anahudhuria na mtoto wake ikiwa ni mpango mahususi kumjengea mazingira mazuri mtoto huyo aje...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto afichwa uvunguni kwa miaka 6 Morogoro

>Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha  kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa, baada ya kubainika mtoto wa miaka sita akiwa amefichwa uvunguni mwa kitanda na kufanyiwa vitendo vya kikatili na mama yake mzazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani