Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mganga amuua mwanaye kisa kazaliwa katanguliza makalio

MTOTO Regina Geofrey (miezi 14), ameuawa kwa kunyongwa na baba yake mzazi Geofrey Kilingwa ‘Simbaiwe’ (27), kwa madai alizaliwa akiwa ametanguliza makalio yake. Baba wa binti huyo ambaye pia ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DENTI AMUUA MWANAYE, AMFICHA UVUNGUNI

MWANAFUNZI wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya,  Vena Mtati (27) (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa madai mazito ya kumuua mtoto wake kwa kumnyonga, kumtumbukiza kwenye mfuko wa rambo na kuutia ndani ya mfuko wa salfeti kisha kuuficha chini ya kitanda, Uwazi lina habari ya motomoto! Vena Mtati akitahayari baada ya kutiwa mbaloni na polisi. Tukio hilo la kikatili ambalo...

 

11 years ago

Mwananchi

Baba amuua mwanaye kwa adhabu kali

Simanzi, vilio na majonzi vilitawala Kijiji cha Misiri, Kata ya Bugarama, wilayani Geita, kutokana na tukio la kifo cha mtoto, John Wiliam (4) aliyefariki baada ya kupewa adhabu na baba yake mzazi.

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI ANANGWA, KISA MAKALIO

Na Rhoda Josiah
MJINI kuna vituko! Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake. Staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti. Akipiga stori na paparazi wetu, Esha alisema anafahamu na anawashangaa watu wanaoponda maeneo hayo ya mwili wake kwani kwa upande wake anaamini kuwa mwanamke sura, makalio majaaliwa kwani hata mwanaume aliyemuoa analijua hilo...

 

9 years ago

Global Publishers

Mtoto amuua mama’ke kisa mali

IMG_4516Mume wa marehemu akiwa pembeni ya mwili wa mkewe.

Na Dustan Shekidele, UWAZI
MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Kijana Said Ally Mwinyimvua anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro akidaiwa kumuua kwa kumcharanga mapanga mama yake mzazi, Sikuzani Said (70), kisa kikidaiwa kuwa ni kunyimwa wali (ubwabwa) na kupewa mdogo wake, Abass ambaye ni mziwanda, Uwazi linakupasha.

Tukio hilo lililoacha majonzi, lilijiri wiki iliyopita nyumbani kwa familia hiyo, Kijiji cha Kungwe,...

 

10 years ago

GPL

DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA

Stori: Chande Abdallah na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA  imekwisha! Binti mmoja mwenye umri wa miaka 19, Rukia Ally anadaiwa kumuua kwa kumchoma kisu kaka yake wa kuzaliwa, Said Ally wote wakati whga Tegeta Mivumoni, Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kijana huyo kutaka kudhibiti tabia zisizofaa za dada yake huyo, tukio lililotokea usiku wa Januari 24 mwaka huu. Rukia Ally anayedaiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mama Amuua Mwanae kisa kuwa na Masikio Marefu

Mama amemuua mwanae baada ya kutaka kumuondolea aibu ya kuwa na masikio makubwa.Inadaiwa mama huyo amesababisha kifo hicho akidhani kwamba mwanae akibaki na masikio makubwa yatamfanya akose raha maishani mwake kulingana na sheria za Uturuki atakabiliwa na kesi ya mauaji.Nuray Sacan mwenye umri wa miaka 37 alitoa kiasi cha fedha ili mwanae aweze kufanyiwa upasuaji kwenye hospital ya Gazi jijini Ankara lakini oparesheni hiyo haikuweza kufanikiwa baada ya masikio hayo kubaki katika hali ile...

 

9 years ago

GPL

MGANGA ANUSURIKA KUUAWA KISA, FUMANIZI

Mganga huyo baada ya kufumaniwa. Na Victor Bariety, Geita  MWANAUME mmoja mkazi wa mtaa wa Mkoani kata mpya ya Bombambili wilayani Geita, mkoani Geita ambaye ni mganga wa kutibu mifupa ya binadamu iliyovunjika, amenusurika kifo baada ya kufumaniwa akidaiwa kufanya mapenzi na mke wa mtu.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1MQbCjt

 

10 years ago

Vijimambo

MREMBO AFUKUZWA KWAO, KISA PENZI LA MGANGA

Ulozi? Mrembo aliyejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23), anadaiwa kufukuzwa nyumbani kwao kufuatia kuchanganywa na penzi la mganga wa kienyeji ambaye pia ni ustadhi aliyejulikana kwa jina moja la Zein.Mrembo anayejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23) anayedaiwa kufukuzwa nyumbani.Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kutimuliwa kwao, binti huyo ambaye alikuwa akiishi na wazazi wake walezi maeneo ya Kariakoo jijini Dar alisimulia kwamba alifukuzwa kwao kwa sababu...

 

10 years ago

GPL

MREMBO AFUKUZWA KWAO, KISA PENZI LA MGANGA

Stori: Gladness Mallya
Ulozi? Mrembo aliyejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23), anadaiwa kufukuzwa nyumbani kwao kufuatia kuchanganywa na penzi la mganga wa kienyeji ambaye pia ni ustadhi aliyejulikana kwa jina moja la Zein. Mrembo anayejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23) anayedaiwa kufukuzwa nyumbani. Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kutimuliwa kwao, binti huyo ambaye alikuwa akiishi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani