Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Amuua Mwanae kisa kuwa na Masikio Marefu

Mama amemuua mwanae baada ya kutaka kumuondolea aibu ya kuwa na masikio makubwa.Inadaiwa mama huyo amesababisha kifo hicho akidhani kwamba mwanae akibaki na masikio makubwa yatamfanya akose raha maishani mwake kulingana na sheria za Uturuki atakabiliwa na kesi ya mauaji.Nuray Sacan mwenye umri wa miaka 37 alitoa kiasi cha fedha ili mwanae aweze kufanyiwa upasuaji kwenye hospital ya Gazi jijini Ankara lakini oparesheni hiyo haikuweza kufanikiwa baada ya masikio hayo kubaki katika hali ile...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Mtoto amuua mama’ke kisa mali

IMG_4516Mume wa marehemu akiwa pembeni ya mwili wa mkewe.

Na Dustan Shekidele, UWAZI
MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Kijana Said Ally Mwinyimvua anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro akidaiwa kumuua kwa kumcharanga mapanga mama yake mzazi, Sikuzani Said (70), kisa kikidaiwa kuwa ni kunyimwa wali (ubwabwa) na kupewa mdogo wake, Abass ambaye ni mziwanda, Uwazi linakupasha.

Tukio hilo lililoacha majonzi, lilijiri wiki iliyopita nyumbani kwa familia hiyo, Kijiji cha Kungwe,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mganga amuua mwanaye kisa kazaliwa katanguliza makalio

MTOTO Regina Geofrey (miezi 14), ameuawa kwa kunyongwa na baba yake mzazi Geofrey Kilingwa ‘Simbaiwe’ (27), kwa madai alizaliwa akiwa ametanguliza makalio yake. Baba wa binti huyo ambaye pia ni...

 

10 years ago

GPL

DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA

Stori: Chande Abdallah na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA  imekwisha! Binti mmoja mwenye umri wa miaka 19, Rukia Ally anadaiwa kumuua kwa kumchoma kisu kaka yake wa kuzaliwa, Said Ally wote wakati whga Tegeta Mivumoni, Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kijana huyo kutaka kudhibiti tabia zisizofaa za dada yake huyo, tukio lililotokea usiku wa Januari 24 mwaka huu. Rukia Ally anayedaiwa...

 

11 years ago

GPL

MAMA SHARO ALILIA JASHO LA MWANAE!

Na Shani Ramadhani
MAMA mzazi wa marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Millionea’,  Bi. Zuwena Mkieti amewataka waandaaji wa filamu za Kitanzania kusitisha mara moja matumizi ya sinema za mwanaye huku akishusha lawama nzito. Mama Sharo. Akizungumza kwa njia ya simu na ‘kiranja’ wetu mwanzoni mwa wiki hii, mama huyo alidai kujisikia uchungu kuona kazi za mwanaye zinazidi kuingia sokoni huku familia yake...

 

10 years ago

GPL

MAMA JOKATE AAMUA KUMFUNGUKIA MWANAE

Stori: Hamida Hassan na Ng’osha Gabriel
Vunja ukimya! Kwa mara ya kwanza, mama mzazi wa mwanamitindo na mkurugenzi wa brand ya urembo ya Kidoti, Jokate Mwegelo, Benadertha Ndunguru amemfungukia mwanaye baada ya kuingia ubia na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya nchini China inayomuingizia mabilioni ya fedha. Mkurugenzi wa brand ya urembo ya… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ambaka, amuua mama yake mzazi

MTU anayedhaniwa kuwa ni mgonjwa wa akili, amembaka na kumuua kwa kumpiga fimbo kichwani na usoni kisha kumnyonga shingo mama yake mzazi mwenye miaka 73, mkazi wa Kijiji cha Ibungila...

 

11 years ago

GPL

MADAI MAZITO MAMA AMUUA MTOTO

Stori: Kulwa Mwaibale WAKATI wanaharakati wanaendelea kupiga kelele kuhusu kushamiri kwa vitendo vya unyanyasaji kwa watoto duniani kote,  mwanamke aliyetajwa kwa jina la Amina Hamis, mkazi wa Kata ya Kwembe, Malamba Mawili Kitongoji cha Mpakani, Kinondoni jijini Dar ametiwa mbaroni  kwa madai ya kumuua kwa kipigo mtoto Munili Omar (6). Kaka wa marehemu (Munili Omary), Omary akiwa kwenye msiba wa mdogo wake. Tukio hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani