Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA SHARO ALILIA JASHO LA MWANAE!

Na Shani Ramadhani
MAMA mzazi wa marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Millionea’,  Bi. Zuwena Mkieti amewataka waandaaji wa filamu za Kitanzania kusitisha mara moja matumizi ya sinema za mwanaye huku akishusha lawama nzito. Mama Sharo. Akizungumza kwa njia ya simu na ‘kiranja’ wetu mwanzoni mwa wiki hii, mama huyo alidai kujisikia uchungu kuona kazi za mwanaye zinazidi kuingia sokoni huku familia yake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAMA SHARO AMVAA KITALE

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan Makubwa! Mama mzazi wa aliyekuwa nyota wa filamu na muziki, marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ amemtuhumu msanii wa vichekesho ambaye alikuwa rafiki wa mwanaye, Musa Kitale kuwa alikula michango ya kumbukumbu ya kifo cha mwanaye, mwaka jana. Kwa mujibu wa chanzo makini, Mama Sharo amekuwa akimlalamikia Kitale kwa watu kwamba alikula fedha za mchango wa mwanaye hivyo...

 

9 years ago

GPL

WEMA AMLIZA MAMA SHARO MILIONEA

Hamida hassan Wasanii mbalimbali wa filamu waliomo kwenye Kampeni za CCM kupitia mpango wa Mama Ongea na Mwanao akiwemo Wema Sepetu, juzikati walimliza mama wa msanii marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Milionea’ pale walipokwenda kutembelea kaburi lake. Mama wa msanii wa marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Milionea’ akilia. Wasanii hao walichukua uamuzi huo walipopita katika kijiji alichozaliwa msanii huyo cha Lusanga, wilayani...

 

11 years ago

GPL

MAMA SHARO MILIONEA AMLIZA RICH MAVOKO

Na Shakoor Jongo
STORI kuhusu maisha ya mama mzazi wa staa wa komedi Bongo, marehemu Husein Mkiety ‘Sharo Milionea’, baada ya kifo cha mwanaye huyo imemliza Rich Mavoko ambaye alikwenda kumtembelea nyumbani kwake kijijini Lusanga, Muheza mkoani Tanga. Rich Mavoko akifuta machozi alipomtembelea Mama Sharo Milionea. Akiteta machache na Risasi Vibes, Mavoko alisema, yeye kama msanii aliguswa kwenda kumsalimia mama...

 

11 years ago

GPL

MAMA SHARO AZIDI KULILIA HAKI ZA MWANAYE

Stori: Mayasa Mariwata
MAMA wa aliyekuwa msanii wa muziki na filamu, Hussein Mkiety ‘Sharo Milionea’, Zainabu Mkiety, bado yuko kwenye maumivu ya kudhulumiwa haki za mwanaye jambo linaloongeza simanzi moyoni mwake. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, mama huyo alidai kushangaa kuona wahusika waliokuwa wakifanya kazi na Sharo Milionea wanakaa kimya juu ya malipo ya kazi hizo ambazo marehemu aliacha akidai....

 

10 years ago

GPL

MAMA JOKATE AAMUA KUMFUNGUKIA MWANAE

Stori: Hamida Hassan na Ng’osha Gabriel
Vunja ukimya! Kwa mara ya kwanza, mama mzazi wa mwanamitindo na mkurugenzi wa brand ya urembo ya Kidoti, Jokate Mwegelo, Benadertha Ndunguru amemfungukia mwanaye baada ya kuingia ubia na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya nchini China inayomuingizia mabilioni ya fedha. Mkurugenzi wa brand ya urembo ya… ...

 

9 years ago

Mwananchi

10 years ago

Vijimambo

Mama Amuua Mwanae kisa kuwa na Masikio Marefu

Mama amemuua mwanae baada ya kutaka kumuondolea aibu ya kuwa na masikio makubwa.Inadaiwa mama huyo amesababisha kifo hicho akidhani kwamba mwanae akibaki na masikio makubwa yatamfanya akose raha maishani mwake kulingana na sheria za Uturuki atakabiliwa na kesi ya mauaji.Nuray Sacan mwenye umri wa miaka 37 alitoa kiasi cha fedha ili mwanae aweze kufanyiwa upasuaji kwenye hospital ya Gazi jijini Ankara lakini oparesheni hiyo haikuweza kufanikiwa baada ya masikio hayo kubaki katika hali ile...

 

10 years ago

Bongo5

Sugu amshtaki mama wa mtoto wake Faiza, anahisi anamharibu mwanae

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu amemshtaki aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally na aliyezaa naye mtoto kwa madai kuwa mwanamke huyo hana maadili na anahofia atamharibu mtoto wao. Sugu anataka kumchukua mtoto huyo na aishi naye (child custody). Faiza ameiambia Bongo5 kuwa baada ya siku chache zilizopita kupandishwa kizimbani na kujibu shtaka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani