BASATA ianze kukagua nyimbo kabla hazijatoka — Roma
Roma Mkatoliki amelishauri baraza la sanaa la taifa, BASATA kuunda kutengo cha kukagua nyimbo kabla hazijatoka. Hivi karibuni baraza hilo liliufungia wimbo wake mpya, Viva Roma kwa madai una matusi na unatukana viongozi. Roma ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa ili kwenda sawa na BASATA wanatakiwa kuunda chombo cha ukaguzi wa kazi za wasanii […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Sep
BASATA waufungia rasmi wimbo wa Roma — ‘Viva Roma Viva’
Baraza la sanaa Tanzania, BASATA wameufungia rasmi wimbo wa Roma Mkatoliki uitwao ‘Viva Roma Viva’. Hatua hiyo imezikumba na nyimbo nyingine pia zenye ujumbe kama uliopo kwenye wimbo huo. BASATA wamesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo. Baada ya taarifa za kufungiwa kwa […]
9 years ago
Bongo530 Sep
Roma asema hajapewa barua rasmi ya kufungiwa wimbo wake na BASATA
Rapper Roma Mkatoliki ameendelea kutawala vichwa vya habari kufuatia sakata la kufungiwa kwa wimbo wake wa Viva Roma Viva. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya E A Radio, Roma amesema kuwa yeye binafsi hajapokea barua rasmi ya kufungiwa wimbo wake kutoka BASATA. “Sina jibu la moja kwa moja na napata kigugumizi kwa sababu sina taarifa rasmi […]
10 years ago
GPL16 Apr
10 years ago
GPL15 Apr
9 years ago
Bongo502 Oct
Hizi taarifa nazichukulia tu kama uvumi naamini BASATA hawawezi kunifungia wimbo — Roma
Licha ya BASATA kutoa maelezo ya jinsi ambavyo wanaweza kuufungia wimbo wa msanii kwa kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari pasipo kumwandikia msanii barua yoyote (Ingia hapa), Roma bado anaamini kuwa Baraza hilo la sanaa halijaufungia wimbo wake. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Roma amesema kuwa anaamini BASATA wanasapoti kazi zake hivyo taarifa […]
9 years ago
Bongo501 Oct
BASATA yaeleza changamoto ya kuhakiki nyimbo
Baraza la Sanaa Taifa, BASATA, limesema kitendo cha wasanii kutoa wimbo mmoja badala ya album iliyokamilika kinawapa ugumu wa kukagua kazi hizo. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Afisa habari wa BASATA, Aristide Kwizera alisema wanachoweza kufanya ni kuhakiki kazi zilizopo kwenye album. “Kwa sasa hivi kazi ambazo zinahakikiwa ni zile […]
9 years ago
Bongo524 Oct
Roma ajisalimisha BASATA kuwasikilizisha wimbo mpya aliopanga kuachia kesho siku ya uchaguzi Oct.25
Roma Mkatoliki ameamua kuchukua jukumu la kwenda Baraza La Sanaa Tanzania, BASATA kuwasikilizisha wimbo wake mpya anaotarajia kuuachia Jumapili siku ya uchaguzi Oct.25 ili waupe baraka kuepuka kufungiwa. Uamuzi huo umekuja kutokana na misukosuko aliyokutana nayo baada ya kutoa wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’ hivi karibuni, ambao BASATA waliufungia kutokana na madai kuwa hakuna […]
9 years ago
Bongo519 Oct
Roma adai tangazo kuwa wimbo wake umefungiwa inamwathiri kiuchumi, aiandikia barua BASATA
Roma amedai kuwa taarifa zilizotolewa kuwa wimbo wake Viva Roma umefungiwa, zimemuathiri kiuchumi. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio hivi karibuni, Roma alidai kuwa hiyo ndio sababu iliyomfanya atumie wanasheria kuiandikia barua BASATA ili imweleze sababu za kuufungia wimbo wake. Bado BASATA haijaijibu barua yake. “Ni kweli hizi taarifa zilikuwa zinaathiri career […]
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/basata-mpya.jpg)
BASATA YATOA TAMKO KUHUSU NYIMBO ZISIZOZINGATIA MAADILI
BASATA LATAKA KUONDOLEWA/KUSITISHWA MARA MOJA KUCHEZWA KWA NYIMBO ZOTE ZENYE KUKENGEUKA MAADILI, SHERIA NA TARATIBU Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawaagiza wasanii, wamiliki na waendeshaji wa wavuti, tovuti na vyombo vya habari hususan radio na runinga kuondoa na kuacha mara moja kurusha au kutangaza au kucheza nyimbo zote zenye maudhui ya kashfa, matusi, kejeli, udhalilishaji ambazo zinahatarisha kuigawa jamii ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania