Video: Emanuel Austin na Ben Pol wakizungumzia collabo yao
Watazame Emanuel Austin na Ben Pol wakizungumzia wimbo waliofanya pamoja ‘Jump Ruka Juu’.
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo520 Jul
New Video: Emanuel Austin f/ Ben Pol — Ruka Juu
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ov0SjeaJrHc/Va34Zu0gZuI/AAAAAAAAbw8/q_vNgkO0qqs/s72-c/IMG-20150721-WA0007.jpg)
NEW MUSIC VIDEO : EMANUEL AUSTIN FEAT. BEN POL -RUKA JUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-ov0SjeaJrHc/Va34Zu0gZuI/AAAAAAAAbw8/q_vNgkO0qqs/s640/IMG-20150721-WA0007.jpg)
MFAHAMU EMANUEL AUSTIN MTANZANIA MWANAMUZIKI AISHIYE UJERUMANI.
Emanuel Austin alizaliwa 27.10.1990 Jijini Dar es salaam Tanzania, na ilipofika mwaka 1996 alihamia Ujerumani Kuishi na wazazi wake, Kipaji chake cha kucheza na kuimba kilianza kuonekana mapema.Akiwa na Miaka mitano Emanuel Austin alianza kuigiza kama anacheza movie pamoja na rafiki zake wa Kiafrika akiwemo Gregory Msuya na Michael Jackson. Alipofika umri wa Miaka 15 alianza kupenda na kuimba muziki wa Kugani yani ‘Hip hop’
...
9 years ago
Bongo514 Sep
Ben Pol na Avril wa Kenya kuja na collabo!
9 years ago
Bongo510 Sep
Ben Pol ayasema haya kuhusu 2Face na D’Banj, ni collabo?
9 years ago
Bongo524 Dec
Ben Pol ampigia magoti Alikiba, wayamaliza, huenda wakafanya collabo
![Kiba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Kiba-1-300x194.jpg)
Wagombanao ndio wapatanao. Baada ya wiki nzima ya kuoga matusi kutoka kwa mashabiki wa Alikiba kutokana na kauli yake ya utata kwenye Twitter, Ben Pol amekiri kuwa aliteleza na kumuomba radhi muimbaji huyo wa Nagharamia.
Akiongea kwa simu kupitia kipindi cha Jahazi cha Clouds FM Alhamis hii ambako Kiba alikuwepo studio, Ben Pol alisema yeye ni shabiki mkubwa wa Kiba na anamchukulia kama kaka yake na amekiri kuwa tweet ile haikuwa sawa.
“Mimi shabiki wa Kiba, moyoni mwangu nina furaha kubwa...
9 years ago
Bongo509 Nov
Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…
![Ben SA-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ben-SA-1-300x194.jpg)
Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.
Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.
Ben Pol na Patoranking
Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Ben Pol kamwomba radhi Alikiba ??!! ishu yao imeisha hivi live #OnIAR.. (+Audio)
Jana December 23 2015 gossic cop wa show ya XXL #CloudsFM, Soudy Brown alifanikiwa kumpata Alikiba… maswali ya Soudy kwa Alikiba ilikuwa jinsi alivyopokea maneno ya Ben Pol kwenye post ya Twitter ambayo alimtaja !! Alikiba alisema hana neno na wala hana tatizo na Ben Pol, kwa hiyo hata kilichoandikwa na Ben Pol alikichukulia poa […]
The post Ben Pol kamwomba radhi Alikiba ??!! ishu yao imeisha hivi live #OnIAR.. (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Africanjam.ComNEW VIDEO: BEN POL ft. AVRIL & ROSSIE M - NINGEFANYAJE (Official Video)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Ben Pol aanza mwaka na Ben Pol
Ben Pol.
Khadija Mngwai, Dar es Salaam
MWANAMUZIKI wa muziki wa Kizazi kipya ‘Bongo Fleva, Benard Paul (Ben Pol) amefunguka kwa kusema kuwa anauanza mwaka wa 2016 kwa kutoa albamu yake iliyobeba nyimbo 13, mwanzoni mwa mwezi wa pili.
Akizungumza na Championi Jumatano, Pol amesema kuwa wasanii wengi wamekuwa wakiuchukulia muziki huo ni wa kawaida tu kwa kuhitaji kujiingizia kipato na siyo kuwa ‘serious’ na matokeo yake wanaishia kutoa nyimbo moja au mbili ili kupata shoo.
“Nimejipanga kuweka...