Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEW MUSIC VIDEO : EMANUEL AUSTIN FEAT. BEN POL -RUKA JUU


MFAHAMU EMANUEL AUSTIN MTANZANIA MWANAMUZIKI AISHIYE UJERUMANI.
Emanuel  Austin alizaliwa 27.10.1990 Jijini Dar es salaam Tanzania, na ilipofika mwaka 1996  alihamia Ujerumani Kuishi na wazazi wake, Kipaji chake cha kucheza na kuimba kilianza kuonekana mapema.Akiwa na Miaka mitano Emanuel Austin alianza kuigiza kama anacheza movie pamoja na rafiki zake wa Kiafrika akiwemo Gregory Msuya na Michael Jackson.  Alipofika umri wa Miaka 15 alianza kupenda na kuimba muziki wa Kugani yani ‘Hip hop’
...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Emanuel Austin f/ Ben Pol — Ruka Juu

Video kali ya wimbo wa msanii na mwalimu wa dance anayeishi nchini Ujerumani, Emanuel Austin aliomshirikisha Ben Pol. Video iliongozwa na mmoja wa waongozaji maarufu nchini Ujerumani. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Video: Emanuel Austin na Ben Pol wakizungumzia collabo yao

Watazame Emanuel Austin na Ben Pol wakizungumzia wimbo waliofanya pamoja ‘Jump Ruka Juu’.

 

9 years ago

MillardAyo

2015 haiishi na ‘Sophia’ hewani, mpya ni hii..- ‘Ningefanyaje> Ben Pol Feat. Avril & Rossie M (+Video)

Mkali wa R&B kutoka Bongo TZ, Ben Pol anafunga mwaka 2015 huku akiacha kumbukumbu nzuri za headlines za hit ya ngoma ya ‘Sophia‘ ambayo imependwa na bado inapendwa na wengi… ukali wa ngoma hiyo ulifanya akina Quick Rocka, Peter Msechu nao kuingia studio kuiimbia copy ya aina yake, hicho ni kitu ambacho sio mara nyingi […]

The post 2015 haiishi na ‘Sophia’ hewani, mpya ni hii..- ‘Ningefanyaje> Ben Pol Feat. Avril & Rossie M (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

10 years ago

GPL

KALA JEREMIAH, LA VEDA, MO MUSIC, BEN POL, STAMINA, NEY LEE WAFUNIKA UZINDUZI WA VIDEO 'USIKATE TAMAA'

Kala Jeremiah (kushoto) na Nuruwell wakipafomu kwa mara ya kwanza wimbo wa Usikate Tamaa ndani ya Maisha Club. Kala Jeremiah akikamua sambamba na Ney Lee kabla ya kuzindua video yake ya Usikate Tamaa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani