Young Killer kuachia ‘Mchana na Giza’
KINDA wa muziki wa hip hop nchini, Erick Msodoki ‘Young Killer’, anajipanga kuachia ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Mchana na Giza’ hivi karibuni. Young Killer ni miongoni mwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo507 Jul
Young Killer kuachia video ya wimbo ‘My Power’,july 12
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa kusema kuwa siku ya ijumaa july 12 anatarajia kuachia video ya wimbo ‘My Power’ ambayo imetengenezwa na director mpya Jackson Joakim . Akizungumza na bongo5 , Young Killer, amesema video ya My Power ni video nzuri kiasi chake ambayo haijamgharimu pesa nyingi. “My Power […]
10 years ago
Bongo513 Nov
Msiba wa Geez Mabovu: Young Killer aahirisha kuachia video ya 13 leo
Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku. Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo. Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.
9 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]
11 years ago
Michuzi18 Feb
9 years ago
Bongo502 Nov
Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee
![mtu chee2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mtu-chee2-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram
Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]
9 years ago
Bongo512 Sep
Music: Young Killer — Mtanzania
Msanii Young Killer ameachia wimbo mpya unaitwa “Mtanzania” ikiwa ni kuhamasisha amani katika kipindi hiki cha kuelekea katika Uchaguzi wimbo umetaarishwa katika studio za Kiri Records na Producer Rash Don. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote […]
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Young Killer arudi shule
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ametimiza ndoto zake za kurudi shule ambapo sasa anasomea teknolojia ya mawasiliano (IT). Nyota huyo chipukizi ambaye amejizolea umaarufu kupitia...
11 years ago
GPL13 Jul
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania