Breaking News: Msanii maarufu wa Hip Hop nchini Geez Mabovu afariki dunia
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba rapper Geez Mabovu ambae ni maarufu kwenye muziki wa hiphop Tanzania, amefariki dunia kwenye hospitali aliyokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo mpaka mauti yalipomkuta.
Geez atazikwa kesho (Leo) jioni November 13 2014.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo512 Nov
Breaking: Geez Mabovu afariki dunia
10 years ago
Michuzi13 Nov
NEWZ ALERT:msanii wa bongofleva Geez mabovu afariki dunia mjini Iringa usiku huu.

10 years ago
GPL
MWANAMUZIKI GEEZ MABOVU AFARIKI DUNIA
10 years ago
Vijimambo
BREAKING NEWS: BANZA STONE AFARIKI DUNIA LEO

CHANZO: EAST AFRIKA RADIO
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
Breaking News…Msanii wa muziki wa dansi Banza Stone amefariki dunia!
Chanzo kupitia akaunti ya twitter ya Power breakfast ya Clouds radio.
Taarifa zaidi hapo baadae kidogo, Modewjiblog inafanya mawasiliano na ndugu wa karibu wa marehemu Banza Stone.
5 years ago
CCM Blog
BREAKING NEWS: MCHUNGAJI MAMA GERTRUDE RWAKATARE AFARIKI DUNIA

Mtoto wake Muta Rwakatare amethibitisha.
Taarifa zaidi tutawaletea kadri tutakavyoendelea kupata taarifa.
10 years ago
Dewji Blog04 Oct
Breaking News: Mchungaji Christopher Mtikila afariki dunia leo alfajiri
Taarifa zilizotufikia hivi punde katika chumba chetu cha habari, Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani) amepata ajali na kufariki dunia alfajiri ya leo eneo la Msolwa-Chalinze.
Modewji blog inaungana na wanachama wa DP pamoja na watanzania wote katika kuomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Mchungaji Mtikila Amen.
Pichani ni gari iliyopinduka na kumuua Mchungaji Mtikila.
Taarifa za kifo chake...
11 years ago
GPL
BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA, GABRIEL TUPPA AFARIKI DUNIA
10 years ago
Vijimambo
SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP

