TASWIRA YA AJALI MUSOMA SIKU YA JANA
![](http://2.bp.blogspot.com/-vHJy8mHNzag/VAmxVZ17zhI/AAAAAAAGe3I/oSCfZkNfuCI/s640/1.jpg)
Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Kilari Mkoani Mara likiwa limeumia vibaya sana baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba, Mjini Musoma mchana siku ya jana. Basi la Kampuni ya MWANZA COACH lililokuwa likitokea Musoma kwenda Mwanza linavyoonekana baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdiUKtmWd2GD9rsEyEQOOk*esa95a1XPCJca4ri5RY821xVOXMRij4tNEDZgnRwqMv*AdGbBvo1YJrK9A7IAU2Ds/AJALI.jpg?width=650)
TASWIRA ZA AJALI ILIYOTOKEA KIKATITI JIJINI ARUSHA JANA
10 years ago
Michuzi06 Sep
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVX16ma6BpqjFDqhUvlstr2dbfkdYHTSaPkQDbtT119fZPQcfGBv6TSfoiGMSJmwgW-HbNHQtcE9KsvJOL2jkkWv/1ajaliyabasi1.jpg)
TASWIRA ZA AJALI YA BASI LA LUHUYE LILILOUA ZAIDI YA WATU 10 JANA MKOANI MWANZA
10 years ago
GPL![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0040.jpg)
TASWIRA ZA MAZISHI YA MAREHEMU MEZ B SIKU YA JANA DODOMA
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s72-c/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s1600/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.
Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
wakizungumza na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu130WcHQvjqrWzNntNhYBcnL0-mAckNyVQ752Lg9ZlMBRoEvA0BDrLxBR47bvrAlINtboc0atdQWCZvP4FcpQ3L/IMG20141008WA0010.jpg?width=650)
BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO SIKU YA JANA
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-IBy1L1jB5K8/VTWc5iKCHDI/AAAAAAAASLI/YwHOHixj1P8/s72-c/IMG-20150419-WA0008.jpg)
TASWIRA: MKUTANO WA CHADEMA MUSOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-IBy1L1jB5K8/VTWc5iKCHDI/AAAAAAAASLI/YwHOHixj1P8/s640/IMG-20150419-WA0008.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0H3ioBxQRPs/VTWc7ni81cI/AAAAAAAASLQ/nkTMM7eQ0kg/s640/IMG-20150419-WA0009.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-crrmRiSjcxw/VTWc9Pdpz2I/AAAAAAAASLY/HFrs6zBa9AE/s640/IMG-20150419-WA0004.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08csMAtQ7T*pA58r-UGJ1jGOl2yLVk-QVVR7WQ9zIaI5hKiAEY5Y1DXDDfnPDXaIA4wDLusAYPTQNDZDO7E2aAeMV/breakingnews.gif)
AJALI YAUA 35 MUSOMA
Ajali hiyo imetokea baada ya basi la Kampuni ya J4 Express lenye namba za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari mkoani Mara kuligonga ubavuni gari dogo aina ya Nissan Terano lenye namba za usajili T 332 AKK na kulitupa mtoni kisha kugongana uso kwa uso na basi lingine la Kampuni...