Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEZ B KUZIKWA JUMATATU MAKABURI YA WAHANGA DODOMA

Mez B akiwa katika moja ya mahojiano yake na kituo cha TV. Marehemu, Mez B akiwa studio enzi za uhai wake. ALIYEKUWA memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye amefariki jana mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa Jumatatu katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Hapo. Mtandao huu uliongea na mama wa marehemu, Marry Mkandawile ambaye alisema kuwa kwa sasa msiba upo maeneo ya Kisasa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Mez B kuzikwa leo kwenye makaburi ya Wahanga,Dodoma

ALIYEKUWA memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye alifariki Ijumaa iliyopita mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Dodoma. Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Kizazi Kipya Marehemu Mez B ameelezea Sababu ya Kifo cha Mez B kwamba ni Ugonjwa wa Pneumonia ambao ulikuwa unamumbua siku nyingi.Katika Taarifa ya Mama Mzazi wa Mez B amesema kuwa Mez B alilazwa na Kuruhusiwa Mara Kadhaa katika Hospitali ya Mwananchi Dodoma na...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwili wa marehemu MEZ B umepumzishwa katika makaburi ya WAHANGA, DODOMA

Pichani ni Mama mzazi wa Mez B akiwa ameshikiliwa na ndugu baada ya kuingia viwanja vya Mashujaa ili kutoa heshima za mwisho. Marehemu Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa na marafiki mwili wake ulielekea kupumzishwa katika makaburi ya Wahanga Maili mbili.Mungu ailaze roho ya marehemu Mez B mahali pema peponi
AminBaadhi ya wasanii waliohudhuria msiba huu wa Mez B wakiwa kwenye majonzi mazito. CREDIT:DJ CHOKA

 

10 years ago

Mtanzania

Mez B kuzikwa Dodoma leo

Mez-BNA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

MWILI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moses Bushagama ‘Mez B’, unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya wahanga wa treni, Mailimbili mkoani hapa.

Mez B alifariki dunia Ijumaa ya wiki iliyopita, mjini hapa wakati akiwaishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kuugua ugonjwa wa Pneumonia.

Akizungumza na MTANZANIA jana mjini hapa, mama mzazi wa marehemu, Merry Katambi, alisema mwanaye atazikwa leo katika makaburi hayo ya wahanga wa treni.

Alisema...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KATIKA MAKABURI YA WAHANGA WA AJARI YA MOTO MOROGORO


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kasimu Majaliwa akiwa katika makaburi ya wahanga wa Ajari ya Moto iliyotekea Agosti 10 Mwaka jana eneo la Msavu Mkoani Morogoro.Muonekano wa nje katika eneo la Makaburi ya kola Manispaa ya Morogoro,ambapo pia wamezikwa wahanga wa ajari ya moto.
Na Farida Saidy, Globu ya Jamii Morogoro 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kasimu Majaliwa Amefanya ziara katika makaburi ya wahanga wa Ajari ya Moto iliyotekea Agost 10 Mwaka jana,...

 

10 years ago

Mwananchi

YP kuzikwa leo makaburi ya Chang’ombe

Msanii wa kundi la muziki la TMK Wanaume Family, Yesaya Ambikile ‘YP’ amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Temeke alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya kifua.

 

10 years ago

CloudsFM

AMIGOLAS KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki usiku wa kuamkia leo yatafanyika leo saa 9 alasiri katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Amigolas amefariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Mwimbaji huyu ambaye hadi anafariki, alikuwa mtumishi wa bendi ya Ruvu Stars inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Amigo alilazwa Muhimbili...

 

11 years ago

GPL

MZEE SMALL KUZIKWA KESHO MAKABURI YA SEGEREA

Mzee Small enzi za uhai wake akibadilishana mawazo na Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally. MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam. Marehemu Mzee Small alifariki dunia jana usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. ...

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mkurugegenzi wa ASET,  Asha Baraka akiwa msibani. Rogert Hega, 'Katapilla' akiwa msibani. Victor Mkambi akiwa msibani.…

 

11 years ago

CloudsFM

RECHO HAULE KUZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo,Rachel Haule ambaye alifariki dunia mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kujifungua ambapo mtoto wake alifariki muda mfupi na baadaye yeye akafariki,utaagwa leo katika viwanja vya Leaders kuanzia saa nne asubuhi sanjari na mwili wa mtoto wake na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni,

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani