PIERRE NKURUNZIZA KUZIKWA LEO
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGESMwili wa aliyekuwa rais wa Burundi hayati Pierre Nkurunziza unazikwa leo kwenye makaburi ya mji wa Gitega ,mji mkuu wa kisiasa ulioko katikati mwa BurundiHafla ya mazishi zinatarajiwa kuongozwa na rais mpya jenerali Evariste Ndayishimiye na wakuu wengine wa serikali.Hayati Nkurunziza alifariki dunia tarehe 8 mwezi huu ,miezi miwili kabla ya kukabidhi madaraka kwa mrithi wake kufwatia uchaguzi uliofanyika mwezi wa tano.Kwa mjibu wa tangazo lililotolewa na serikali...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Burundi: Pierre Nkurunziza kuzikwa leo
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XnAxcylq3iiVCO-kzIeGLsUSV*ZUn6Rp4unmXfIbLRadgfCbxXOt6xFCLxLDnaB-zaHJUIeC0nFo2sEpnlVfmQj21tgEHyhP/2204190102.jpg?width=640)
PIERRE NKURUNZIZA AREJEA NYUMBANI
10 years ago
BBCSwahili15 May
Pierre Nkurunziza amejerea nyumbani
10 years ago
BBCSwahili07 May
Rais Pierre Nkurunziza hatagombea tena
10 years ago
BBCSwahili07 May
Pierre Nkurunziza ruksa kuwania urais
10 years ago
BBCSwahili14 May
Rais Pierre Nkurunziza yuko wapi?
5 years ago
BBCSwahili09 Jun
Rais wa Burundi , Pierre Nkurunziza ni nani?
10 years ago
BBCSwahili15 May
Rais Pierre Nkurunziza arejea nyumbani