Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shehe Mkuu kuzikwa leo

Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba enzi za uhai wakeWAKATI mwili wa Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba (78) aliyefariki dunia jana asubuhi ukitarajiwa kuzikwa leo jioni mkoani Shinyanga, Rais Jakaya Kikwete ameungana na Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kuomboleza kifo cha kiongozi huyo wa juu wa kiroho nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

shehe mkuu wa mkoa wa iringa marehemu Ally Tagalile azikwa leo

Jeneza lenye mwili wa  Shehe Mkuu wa Mkoa wa Iringa Marehemu Sheikh Ally Tagalile  likipelekwa makaburini kwa mazishi mjini Iringa jioni hii.

 

9 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Shehe Ponda leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani hapa leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda. Hukumu hiyo iliahirishwa kutolewa Oktoba 19, mwaka huu baada ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo kushindwa kukamilisha kuiandika kutokana na matatizo ya kiafya yaliyokuwa yakimkabili.

 

5 years ago

CCM Blog

JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KUZIKWA JUMAMOSI

  Maziko ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhan yanatarajiwa kufanyika Jumamosi hii Kimara King'ong'o  baada ya mwili wake kuagwa nyumbani kwake Oysterbay na kisha kwenye Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano Dar es Salaam.

 

10 years ago

Bongo Movies

Difender Kuzikwa Leo Magomeni

MCHEKESHAJI Fadhil Said ‘Diffender’ anatarajhia kuzikwa leo katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, saa kumi alasiri , msani huyo aliyefariki jana baada ya kuumwa na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Taifa Muhimbili.

Akiongea na Bongo Movies.com mkuu wa maafa kitaifa Kafiten amesema kuwa marehemu alilazwa katika Hospitali hiyo akisumbuliwa na maradhi yaliyoshambulia mapafu pamoja na kutapika damu akiwa katika wodi ya Mwaisela.

“Msiba upo nyumbani kwao Kigogo shughuli zote zitafanyika...

 

11 years ago

Habarileo

Ngw’anakilala kuzikwa leo

MWANDISHI wa habari nguli, Nkwabi Ngw'anakilala ambaye amefariki mwishoni mwa wiki, atazikwa leo shambani kwake Kibamba, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Yombayomba kuzikwa leo Kibaha

Mazishi ya Bondia Michael Yombayomba yamepangwa kufanyika leo saa 10 alasiri katika makaburi ya Mailimoja, Kibaha.

 

5 years ago

CCM Blog

PIERRE NKURUNZIZA KUZIKWA LEO

Pierre NkurunzizaCHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGESMwili wa aliyekuwa rais wa Burundi hayati Pierre Nkurunziza unazikwa leo kwenye makaburi ya mji wa Gitega ,mji mkuu wa kisiasa ulioko katikati mwa BurundiHafla ya mazishi zinatarajiwa kuongozwa na rais mpya jenerali Evariste Ndayishimiye na wakuu wengine wa serikali.Hayati Nkurunziza alifariki dunia tarehe 8 mwezi huu ,miezi miwili kabla ya kukabidhi madaraka kwa mrithi wake kufwatia uchaguzi uliofanyika mwezi wa tano.Kwa mjibu wa tangazo lililotolewa na serikali...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Munyuku, Karashani kuzikwa leo

WAANDISHI wa Habari, Innocent Munyuku (New Habari -2006 Ltd) na Baraka Karashani (mwandishi wa kujitegemea) watazikwa leo kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam na Mkoani Morogoro. Munyuku alifariki dunia...

 

11 years ago

Habarileo

Balozi wa Malawi kuzikwa leo

BALOZI wa Malawi nchini Tanzania aliyefariki ghafla Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam, Flossie Gomile-Chidyaonga, anatazamiwa kuzikwa leo katika jiji alilozaliwa la Blantyre, Malawi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani