Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASAF YAFUNGUA WARSHA YA MIRADI YA UJENZI MJINI KIBAHA-PWANI LEO

 Washiriki wa warsha ya miradi ya ujenzi wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa miradi TASAF Amadeus Kamagenge mara baada ya kufungua warsha hiyo. Mkurugenzi wa miradi wa TASAF Amadeus Kamagenge akifungua warsha ya miradi ya ujenzi kwa wataalam wa halmashauri ya manispaa ya kibaha ikiwa ni moja ya mikakati ya kufanikisha mpango wa kunusuru kaya masikini unao Washiriki wa warsha ya miradi ya ujenzi wakimsikilza kwa makini mkurugenzi wa miradi TASAF Amadeus Kamagenge (hayupo picha)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI LEO KATIKA UJENZI WA TAIFA, KIBAHA MKOANI PWANI

  Wazee wa kazi wakiwa katika kazi ya ujenzi wa Taifa (a.k.a Zege halilali) leo walipo naswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa Kibaha Mkoani Pwani.Wanamama ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa katika ubora wake wa kuchanganya zege ili lisilale kama alivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo Kibaha mkoani Pwani. Hapa kazi tuu walisikika wakisema.

 

11 years ago

Michuzi

Kamati Tendaji ya Taifa ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF, yazuru Kibaha, Pwani.

 Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,LadislausMwamanga (aliyesimama)akitoa ufafanuzi juu ya utekelezaji wa Mpango wa KunusuruKaya Masikinikwa walengwa wa Mpango huo (hawapo pichani).
 Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha mkoani Pwani Tatu Seleman (mwenye miwani) akiangalia moja ya mikeka iliyosukwa na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya masikini,PSSN, katika kijiji cha Vikuge kama njia mojawapo ya kukuza kipato cha wananchi.

 Walengwa wa Mpango wa kunusurukaya masikinikatika...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA ALAT PWANI YATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA MACHINJIO YA KISASA KIBAHA MJI

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya jumuiya ya umoja wa serikali za mitaa ALAT Mkoa wa Pwani wakiwa wanapata maelekezo ya namna ya kutengeneza dawa ambayo inauwa mazalia ya mbu katika kiwanda cha viuatilifu kilichopo Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani. walipofanya ziara ya siku moja kwa ajili ya kujionea shughuli mbali mbali za miradi ya maendeleo


Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wakiwa katika kiwanda cha viuwadudu vya mbu walipofanya ziara katika halmashauri ya mji Kibaha kwa ajili ya kutembnelea...

 

10 years ago

Michuzi

LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI

Kaimu Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki, Isaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi, Ofisa Elimu wa Vifaa na Takwimu wa Wilaya ya Kibaha, Doris Semkiwa (kulia), bati na rangi zenye thamani ya sh.milioni 3.5 zilizotolewa na mfuko huo jana, kusaidia ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari ya Mihande ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Rais Jakaya Kikwete za kuhakikisha kila shule ya sekondari nchini inakuwa na maabara. Anayeshuhudia makabidhiano hayo katikati ni Mkuu wa shule hiyo, Flora...

 

9 years ago

Michuzi

Magufuli afanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kibamba,Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini na Kibaha mjini jijini Dar leo.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze,Ndugu Ridhiwani Kikwete.Dkt Magufuli amefanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini,Kibamba na Kibaha mjini.Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya ccm kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijini .Nduggu Hamoud Abuu Jumaa.Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alipojichanganya kwenye mkutano wa CCM,maara baada ya kuvutiwa na sera za Mgombea Urais...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO LAKUTANA MJINI KIBAHA, PWANI

Mgeni Rasmi wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwantumu Mahiza (aliyesimama) akisisitiza jambo alipokua akifungua kikao cha Baraza hilo.Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bibi Florence Mwanri (aliyesimama) akimkaribisha mgeni rasmi Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bibi Mwantumu Mahiza (aliyekaa kaikati). Kulia ni Katibu wa Baraza hilo Bw. Senya Robert.Wajumbe wa baraza wakiwa katika hali ya utulivu katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana atinga Kibaha mjini, akagua na kufungua miradi ya maendeleo

1. Kinana akifyeka msitu kuzindua kambi ya Vijana ya Boko timiza

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kuvyeka miti wakati wa uzinduzi wa kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM, ya mafunzo ya kilimo katika eneo la Boko Timiza, Kibaha mjini mkoa wa Pwani. Katika kambi hiyo vijana wanatarajiwa kufanya mafunzo ya kilimo kwenye shamba la ekari 25.

1b. Kijana akiwahamasisha kwa wimbo vijana walioko kambi ya Boko Timiza, Kibaha

 Kijana akihamasisha vijana wenzake, walioko kwenye kambi hiyo ya mafunzo ya kilimo, eneo la Boko Timiza wilaya ya Kibaha mjini.

2. Kinana akipanda mti bada ya kuzindua ujenzi Ofisi ya CCM Kibaha

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda mti kwenye kiwanja...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YAFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MAAFISA WAKE JIJINI DAR LEO

 Maafisa ufuatiliaji wa TASAF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Ladislaus Mwamanga (aliyeketi katikati) baada ya kufungua semina elekezi jijini DSM  Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akisisitiza jambo wakati alipofungua semina elekezi kwa maafisa ufuatiliaji (TA) iliyofanyika kwenye ukumbi wa CEEMI jijini DSM.  Baadhi ya Maafisa ufuatiliaji ambao wanatarajiwa kuanza kazi katika halmashauri kadhaa za wilaya nchini wakimsikiliza mkurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani