Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Obama aomba pesa awasaidie waasi

Rais Barack Obama wa Marekani
Rais wa Marekani, Barrack Obama ameliomba Bunge la Congress kiasi cha dola milioni mia tano kwa ajili ya kugharamia mafunzo na kuwapatia silaha Waasi wa Syria.
Bado haijajuliakana ni aina gani ya msaada wa kijeshi ambao Marekani itautoa japo kulikuwa na maombi ya waasi hao wa Syria kuhusu kupewa makombora ya kubeba ya kutungulia ndege ambayo yalitupiliwa mbali kwa kuhofia silaha hizo zisiwaendee wanamgambo wa makundi ya kigaidi.
Ikiwa Bunge hilo litaridhia...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Obama aomba pesa awasaidie waasi

Rais Barrack Obama ameiomba Congress kiasi cha dola milioni mia tano kugharamia mafunzo na kuwapatia silaha Waasi wa Syria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama aomba ushirikiano dhidi ya IS

Rais Obama ametaka mataifa kushirikiana katika vita dhidi ya makundi yanayoeneza itikadi kali za kIdini kama I-S

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama aomba msaada wa dharura

Anahitaji dola bilioni 3.7 za dharura kusaidia kukabiliana na ongezeko la watoto waliohama peke yao kutoka Amerika ya kati

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama aomba fedha kukabili Ebola

Rais wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa chama cha Congress kupitisha kiasi cha dola bilion 6 ili kuikabili Ebola.

 

10 years ago

StarTV

Obama aomba fedha kukabili Ebola.

Rais wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa chama cha Congress kupitisha kiasi cha dola bilion 6 kwa lengo la kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola katika nchi za Afrika Magharibi.

Obama amesema hayo muda mfupi baada ya kutembelea taasisi ya taifa afya nchini humo,ambapo aliwapongeza madaktari na wanasayanzi kwa kazi nzuri wanayoifanya kukabiliana na ugonjwa huo.

Mazishi wagonjwa wa Ebola

Inakadiriwa kuwa takriban watu 7,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola katika nchi za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?

Je ulimwona rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha Kenya ijumaa usiku

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Panza aapa kukabiliana na waasi

Rais wa C.A.R aapa kuwa atapambana na wapiganaji wa Kikristu waliohusika na mashambulio dhidi ya Waislamu mjini Bangui

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi 'waiteka' ikulu ya Rais Yemen

Taarifa za hivi punde kutoka mji mkuu wa Yemen, Sanaa zinasema makabiliano makali yametokea kati ya waasi wa Houthi na vikosi vya usalama katika ikulu ya Rais.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yemen:Jumba la rais laachiliwa na waasi

Ripoti kutoka Yemen zinasema kuwa waasi wameondoka nyumba ya rais waliokuwa wameiteka katika mji wa bandari ya Aden

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani