Tanzania yajiandaa kuikabili Ebola
KUENEA kwa ugonjwa wa ebola katika mataifa ya Afrika Magharibi, kumeifanya serikali kuchukua tahadhari. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Wizara ya Afya na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), yajipanga kuikabili Ebola
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Serikali yaongeza nguvu kuikabili Ebola
Yatenga sh. bilioni 1.8 kupambana nayo
NA RABIA BAKARI
SERIKALI imeendelea kuchukua tahadhari kutokana na ugonjwa wa Ebola kusambaa kwa kasi kubwa na kubisha hodi katika nchi za Afrika Mashariki.
Ugonjwa huo ambao uliweka mizizi katika nchi za Afrika Magharibi, umeua mamia ya watu na kasi yake imezidi kuyatisha mataifa mbalimbali duniani.
Kutokana na tishio hilo, serikali imefunga vifaa vya kisasa katika viwanja vikubwa vya ndege nchini ili kudhibiti ugonjwa huo kuingia.
Tayari mashine maalumu...
9 years ago
MichuziTANZANIA YAJIANDAA VEMA NA USIMAMIZI WA URANI
NA; YOHANA CHALLE ARUSHA.TUME ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), imesema kuwa imejiandaa vilivyo katika usimamizi wa...
10 years ago
MichuziTIMU YA TAIFA YA KARATE TANZANIA YAJIANDAA KWENDA ALBANIA KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA
BOFYA HAPA KWA PICHA...
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Tanzania kuikabili kenya beach soccer
Timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa ufukweni imepangiwa kucheza na Kenya katika raundi ya kwanza ya michuano ya Afrika.
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Tanzania yataja kikosi kuikabili Rwanda
Kocha wa timu ya taifa ya soka Tanzania, Mdachi Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 26 kitakachoivaa Rwanda.
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Mbeya City yajiandaa
Kikosi cha timu ya Mbeya City kinaingia kambini leo kujiandaa na michuani ya Kombe la Mapinduzi itakayoanza Januari mosi hadi Januari 13, Zanzibar.
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
Kogelo yajiandaa kumkaribisha rais Obama
Ziara ya Rais Barack Obama nchini Kenya imevutia hisia mbalimbali miongoni mwa Wakenya.
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Man United yajiandaa kuikasirisha Chelsea
Klabu ya Manchestr United imejiandaa kuiudhi Chelsea kwa kumsajili beki mahiri ambaye amekuwa akifuatiliwa kwa muda mrefu na klabu hiyo kinara wa Ligi Kuu England.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania