Tanzania yataja kikosi kuikabili Rwanda
Kocha wa timu ya taifa ya soka Tanzania, Mdachi Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 26 kitakachoivaa Rwanda.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Tanzania yataja kikosi cha tenisi .
Kwa mujibu wa viongozi wa chama cha tennis Tanzania (TTA), ushiriki wao utaleta tija katika maendeleo ya mchezo huo nchini.
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kriketi Tanzania yataja kikosi kuivaa Namibia
Chama cha Kriketi Tanzania kimetaja wachezaji 14 watakachocheza na Namibia kufuzu kombe la Dunia kwa wavulana waliochini ya miaka 19.
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Zambia yataja kikosi cha AFCON 2015
Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Zambia Honor Janza ameteua kikosi kipya ambacho kina jumla ya wachezaji 27 kwa mwaka 2015 .
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5eqithGxiHX5xiA0sRmjlhemEBwJyJukv5S5sX0Gc3PnZ-8bpVe8wPuoSPI8TgP8GTCHLG7u3ewhrBcvtqWq-*/kikosi.jpg?width=650)
Kikosi Yanga kitakachoenda Rwanda hiki hapa
Wachezaji wa timu ya Yanga, SC. Wilbert Molandi na Hans Mloli
IMEFAHAMIKA kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo amepanga kukitumia kikosi cha pili kwenye michuano ya Kombe la Kagame ambayo inatarajiwa kuanza Agosti 8, mwaka huu nchini Rwanda.
Gazeti hili limegundua hilo kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam, jana. Katika mazoezi hayo, Maximo alitenga...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Tanzania yajiandaa kuikabili Ebola
KUENEA kwa ugonjwa wa ebola katika mataifa ya Afrika Magharibi, kumeifanya serikali kuchukua tahadhari. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Wizara ya Afya na...
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Tanzania kuikabili kenya beach soccer
Timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa ufukweni imepangiwa kucheza na Kenya katika raundi ya kwanza ya michuano ya Afrika.
10 years ago
MichuziMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), yajipanga kuikabili Ebola
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWyrw-bPDMEPB55TR4UUpvIHjn4CPULQDWH3W5SNPFHSZVi3aP6xcCMTGLIFCFApgZsaMc*HwOxrRafktoZBxVJl/Pichana1.jpg?width=650)
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania