Kikosi Yanga kitakachoenda Rwanda hiki hapa
![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5eqithGxiHX5xiA0sRmjlhemEBwJyJukv5S5sX0Gc3PnZ-8bpVe8wPuoSPI8TgP8GTCHLG7u3ewhrBcvtqWq-*/kikosi.jpg?width=650)
Wachezaji wa timu ya Yanga, SC. Wilbert Molandi na Hans Mloli IMEFAHAMIKA kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo amepanga kukitumia kikosi cha pili kwenye michuano ya Kombe la Kagame ambayo inatarajiwa kuanza Agosti 8, mwaka huu nchini Rwanda. Gazeti hili limegundua hilo kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam, jana. Katika mazoezi hayo, Maximo alitenga...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Gmri2Kr-k1Y/VTksNiI7BFI/AAAAAAAAIqw/rmEm6UaLBTU/s72-c/Yanga-vs-Etoile-du-Sahel-1-e1429432765972.jpg)
Kilichoing'oa Yanga kwa Etoile hiki hapa.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Gmri2Kr-k1Y/VTksNiI7BFI/AAAAAAAAIqw/rmEm6UaLBTU/s1600/Yanga-vs-Etoile-du-Sahel-1-e1429432765972.jpg)
Katika mechi ya kwanza iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Aprili 18, timu hizo zilitoka sare ya 1-1, hivyo matokeo ya juzi yalimaanisha kuwa Yanga imeng'oka kwa jumla ya mabao 2-1.
Yanga ilifika...
10 years ago
Vijimambo10 Apr
HIKI NDICHO KIKOSI CHA TANZANIA KITAKACHO CHEZA NA MAGWIJI WA BARCELONA
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/tz.jpg)
Mambo yameshaiva tayari kabisa kushuhudia kandanda safi kati ya magwiji wa Barcelona wakipambana na magwiji wa Tanzania. Hiki ndichi kikosi kitakacho iwakilisha Tanzania siku ya mechi Jumamosi hii. Credit:ShaffihDauda
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/tazania.jpg)
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Tanzania yataja kikosi kuikabili Rwanda
9 years ago
Habarileo11 Dec
Kikosi cha Hapa Kazi Tu 2015
RAIS John Magufuli ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, ambalo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, ndio baraza lenye idadi ndogo ya wizara na mawaziri wake. Baraza hilo lilitangazwa jana Ikulu Dar es Salaam, lina jumla ya wizara 18, zenye mawaziri 19, ambapo kati ya hao, wizara nne hazijapata mawaziri, huku idadi ya manaibu waziri wakiwa 15.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Kilichowaangusha wasaliti hiki hapa
TAMAA ya madaraka na fedha, vimetajwa kama sababu kubwa zilizowasambaratisha wanasiasa wengi waliowahi kuvuma ndani ya vyama mbalimbali vya upinzani nchini tangu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992...
5 years ago
Bongo514 Feb
Hiki ndio kikosi cha PFA cha wachezaji 11 bora Uingereza msimu huu
Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu unaoelekea ukingoni.
Timu ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ndizo zimeongoza kutoa wachezaji wengi katika kikosi hicho ambapo kila timu imetoa wachezaji wanne. Wachezaji wa Chelsea walioingia katika kikosi hicho ni pamoja na Gary Cahil, David Luiz, N’golo Kante na Eden Hazard.
Nao waliochaguliwa kutoka Spurs ni Kyle Walker, Danny Rose, Dele Alli na Harry Kane. Wachezaji wengine...