Kikosi cha Hapa Kazi Tu 2015
RAIS John Magufuli ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, ambalo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, ndio baraza lenye idadi ndogo ya wizara na mawaziri wake. Baraza hilo lilitangazwa jana Ikulu Dar es Salaam, lina jumla ya wizara 18, zenye mawaziri 19, ambapo kati ya hao, wizara nne hazijapata mawaziri, huku idadi ya manaibu waziri wakiwa 15.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKIKAO CHA KIKOSI KAZI CHA "AMCOMET" TECHNICAL TASK FORCE ON AFRICAN REGIONAL SPACE PROGRAMME ON METEOROLOGY” KILICHOFANYIKA GENEVA, USWISI, TAREHE 10 JUNI 2015
Tanzania ambayo ni mwenyekiti wa kikosi kazi cha “African Ministerial Conference on Meteorology (AMCOMET) Technical Task Force on African Regional Space Programme on Meteorology”...
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KIKOSI KAZI CHA “AFRICAN MINISTERIAL CONFERENCE ON METEOROLOGY (AMCOMET) TECHNICAL TASK FORCE ON AFRICAN REGIONAL SPACE PROGRAMME ON METEOROLOGY” KILICHOFANYIKA GENEVA, USWISI, TAREHE 10 JUNI 2015
10 years ago
Michuzi9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.
Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.
Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;
Golikipa
Jack Butland -Stoke...
11 years ago
Michuzikikosi kazi cha Golden bush veterans kuelekea Makambako
Games zote zitapigwa uwanja Makambako Veterans siku ya tarehe 22/06/2014. Kwakutambua...
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Zambia yataja kikosi cha AFCON 2015
10 years ago
VijimamboWAZIRI CHIKAWE AZINDUA KIKOSI KAZI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU WA KIMAZINGIRA NCHINI
11 years ago
MichuziVodacom yamzawadia askari wa kikosi cha Usalama Barabarani kwa kazi nzuri
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...