Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kikosi kazi cha Golden bush veterans kuelekea Makambako

Kwa niaba ya uongozi wa Golden bush veterans ambao ni mabingwa wa Tanzania Bara na visiswani yaani Mabingwa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, napenda kuwapa taarifa kwamba timu kamili ikijumuisha kikosi cha kwanza kama kinavyoonekana katika picha, itaondoka siku ya jumamosi alfajiri kuelekea Makambako kwa ajili ya mechi mbili yaani Makambako Veterans VS Golden Bush na Mafinga Veterans vs Golden Bush.
 Games zote zitapigwa uwanja Makambako Veterans siku ya tarehe 22/06/2014. Kwakutambua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Golden Bush kupeleka Makali yake Makambako

Tunapenda kutoa taarifa kwamba ile timu tishio upande wa veterans hapa nchini yaani Golden bush veterans ambao ndio mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaani Bara na visiwani watakuwa Makamboko siku ya tarehe 22 June 2014 kwa mualiko wa Makambako Veterans wakishirikiana na Serengeti Breweries.
 Mwaliko huu umetokana na historia ndefu ya timu yetu ambayo imejijengea heshima ya kuwa na ushirikiano wa karibu na timu nyingi za veterans wakiwemo Makambako Veterans ambao ndio watakuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Golden Bush kupeleka Makali yake Kilombero

Timu nzima ya Golden Bush Veterans ambao ndio Mabingwa wa Veterani Tanzania (Bara na Visiwani) watahamishia makali yao Kilombero mkoani Morogoro. Tutakapokuwa Kilombero Golden Bush Veterans tutakuwa na mechi moja ya kirafiki siku ya Jumamosi uwanja wa Ruaha dhidi ya Wenyeji wetu Kilombero Veterans yenye wachezaji wazoefu waliowika katika soka la bongo wakiongozwa Mustafa Hoza.
Golden Bush itaondoka Dar es salaam siku ya Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi, na msafara utaongozwa na Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

Golden Bush kukipiga na Stakishali jumapili hii

Kwa muda mrefu tumekuwa tukicheza games zetu bila kutoa matokeo, hii imetokana na ukweli kwamba timu yetu iko kwenye kiwango cha juu sana hivyo timu pinzani zimekuwa zikichezea vichapo vya kuanzia goli 6 kwenda juu, hali iliyopelekea timu nyingi kugoma kucheza na Golden Bush Veterans ambao ndio mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kutambua hilo timu yetu imelazimika kucheza mechi na timu ambazo zinaweza kuleta upinzani kidogo huko mikoani na hapa jijini.
Ili kutekeleza program...

 

11 years ago

Michuzi

KIKOSI CHA TAIFA STARS KUELEKEA NCHINI AFRIKA KUSINI KESHO

Msafara wa watu 27 wa kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kinaondoka kesho (Julai 30 mwaka huu) saa 10 jioni kwa ndege ya Air Tanzania kwenda Afrika Kusini ambapo kitapiga kambi ya siku mbili kabla ya kuingia Maputo kuikabili Msumbiji (Mambas).
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itawasili saa 9 asubuhi kesho (Julai 30 mwaka huu) kwa ndege ya Fastjet kutoka Tukuyu mkoani Mbeya, na baadaye jioni kuunganisha safari ya Afrika Kusini.
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya...

 

9 years ago

Habarileo

Kikosi cha Hapa Kazi Tu 2015

RAIS John Magufuli ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, ambalo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, ndio baraza lenye idadi ndogo ya wizara na mawaziri wake. Baraza hilo lilitangazwa jana Ikulu Dar es Salaam, lina jumla ya wizara 18, zenye mawaziri 19, ambapo kati ya hao, wizara nne hazijapata mawaziri, huku idadi ya manaibu waziri wakiwa 15.

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KIKOSI KAZI CHA "AMCOMET" TECHNICAL TASK FORCE ON AFRICAN REGIONAL SPACE PROGRAMME ON METEOROLOGY” KILICHOFANYIKA GENEVA, USWISI, TAREHE 10 JUNI 2015

Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (akiwakilisha Tanzania) katika picha ya pamoja na washiriki wa kikosi kazi cha “African Ministerial Conference on Meteorology (AMCOMET) Technical Task Force on African Regional Space Programme on Meteorology” Geneva, Uswisi tarehe 10 juni 2015.

Tanzania ambayo ni mwenyekiti wa kikosi kazi cha “African Ministerial Conference on Meteorology (AMCOMET) Technical Task Force on African Regional Space Programme on Meteorology”...

 

11 years ago

Michuzi

KIJITONYAMA VETERANS YATII KIPIGO CHAMABAO 3-1 BILA SHURUTI DHIDI YA WAUKAE VETERANS

Kikosi cha timu ya Kijitonyama Veterans, ambacho hii  kimekubali kipigo cha mabao 3-1 bila shuruti kutoka kwa wapinzani wao, Waukae Veterans, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo asubuhi katika Uwanja wa Kijitonyama, Dar es salaam. Mabao ya Waukae yamefungwa na Felix Kopou na mawili yakifungwa na Athuma Bamia. Bao la kufutia machozi la Kijitonyama Veterans, likifungwa na Norbert. Kikosi cha Waukae Veterans. Wachezaji wa timu zote mbili wakishoo love kabla ya mchezo huo. Mafoto...

 

11 years ago

Michuzi

MOROGORO VETERANS WAICHAPA TANGA VETERANS MAGOLII 2 KWA 1

 Manaodha wa Timu ya Moro Veterani na Tanga Veterani  Wakiwa na Waamuzi wa Mchezo huo Uliofanyika Morogoro. 
Timu hizo zilicheza Mchezo wa Kirafiki Katika Uwanja wa Mochwari mKoani Morogoro Mara daaba ya Timu ya Tanga Veterani Kufanya ziara ya Kudumisha Urafiki na Undugu walionao dhidi ya Timu ya Morogoro Veterani.Katika Mchezo Huo Wenyeji Timu ya Morogoro Veterani Walishinda kwa Jumla ya Magoli 2 kwa Moja.Magoli ya Moro Veterani Yalifungwa na Mokili Rambo dk 35 na 72 Wakati Goli la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani