Golden Bush kupeleka Makali yake Kilombero
Timu nzima ya Golden Bush Veterans ambao ndio Mabingwa wa Veterani Tanzania (Bara na Visiwani) watahamishia makali yao Kilombero mkoani Morogoro. Tutakapokuwa Kilombero Golden Bush Veterans tutakuwa na mechi moja ya kirafiki siku ya Jumamosi uwanja wa Ruaha dhidi ya Wenyeji wetu Kilombero Veterans yenye wachezaji wazoefu waliowika katika soka la bongo wakiongozwa Mustafa Hoza.
Golden Bush itaondoka Dar es salaam siku ya Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi, na msafara utaongozwa na Waziri...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziGolden Bush kupeleka Makali yake Makambako
Mwaliko huu umetokana na historia ndefu ya timu yetu ambayo imejijengea heshima ya kuwa na ushirikiano wa karibu na timu nyingi za veterans wakiwemo Makambako Veterans ambao ndio watakuwa...
11 years ago
MichuziGolden Bush kukipiga na Stakishali jumapili hii
Ili kutekeleza program...
11 years ago
Michuzikikosi kazi cha Golden bush veterans kuelekea Makambako
Games zote zitapigwa uwanja Makambako Veterans siku ya tarehe 22/06/2014. Kwakutambua...
11 years ago
MichuziRais Kikwete atembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) mjini Dallas,Marekani
Rais Kikwete alikuwa amesimama mjini Dallas kwa muda akiwa njiani kutoka Washington D.C., kwenda Houston, jimbo hilo hilo la...
11 years ago
TheCitizen26 Jan
Man hides in ‘a bush’? No; in ‘the bush’
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA GOLDEN FLEET LTD NA GOLDEN COACH LTD WAKABIDHI MAGODORO 30 MHIMBILI
10 years ago
BBCSwahili28 Dec
Afya ya Bush yaimarika hospitalini
11 years ago
Habarileo08 Aug
Bush ahimiza marais kushirikiana
RAIS wa zamani wa Marekani, George W. Bush ametaka marais kuungana kwa pamoja kuimarisha afya ya mama na wasichana.
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
George HW Bush avunjika shingo