Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Golden Bush kukipiga na Stakishali jumapili hii

Kwa muda mrefu tumekuwa tukicheza games zetu bila kutoa matokeo, hii imetokana na ukweli kwamba timu yetu iko kwenye kiwango cha juu sana hivyo timu pinzani zimekuwa zikichezea vichapo vya kuanzia goli 6 kwenda juu, hali iliyopelekea timu nyingi kugoma kucheza na Golden Bush Veterans ambao ndio mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kutambua hilo timu yetu imelazimika kucheza mechi na timu ambazo zinaweza kuleta upinzani kidogo huko mikoani na hapa jijini.
Ili kutekeleza program...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

YANGA NA KHARTOUM KUKIPIGA JUMAPILI HII UWANJA WA TAIFA

 Hatua ya makundi ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kukamilika kesho jumapili kwa michezo miwili kupigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku macho na masikio ya wapenzi wa soka yakiwa katika mchezo kati ya Yanga SC dhidi ya Kahrtoum ya Sudan.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10 kamili jioni, ambapo Yanga SC watashuka dimbani kusaka ushindi wake wa tatu mfululizo katika michuano hiyo, hali kadhalika timu ya Khartoum ikihitaji ushindi...

 

11 years ago

Michuzi

Golden Bush kupeleka Makali yake Makambako

Tunapenda kutoa taarifa kwamba ile timu tishio upande wa veterans hapa nchini yaani Golden bush veterans ambao ndio mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaani Bara na visiwani watakuwa Makamboko siku ya tarehe 22 June 2014 kwa mualiko wa Makambako Veterans wakishirikiana na Serengeti Breweries.
 Mwaliko huu umetokana na historia ndefu ya timu yetu ambayo imejijengea heshima ya kuwa na ushirikiano wa karibu na timu nyingi za veterans wakiwemo Makambako Veterans ambao ndio watakuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Golden Bush kupeleka Makali yake Kilombero

Timu nzima ya Golden Bush Veterans ambao ndio Mabingwa wa Veterani Tanzania (Bara na Visiwani) watahamishia makali yao Kilombero mkoani Morogoro. Tutakapokuwa Kilombero Golden Bush Veterans tutakuwa na mechi moja ya kirafiki siku ya Jumamosi uwanja wa Ruaha dhidi ya Wenyeji wetu Kilombero Veterans yenye wachezaji wazoefu waliowika katika soka la bongo wakiongozwa Mustafa Hoza.
Golden Bush itaondoka Dar es salaam siku ya Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi, na msafara utaongozwa na Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

kikosi kazi cha Golden bush veterans kuelekea Makambako

Kwa niaba ya uongozi wa Golden bush veterans ambao ni mabingwa wa Tanzania Bara na visiswani yaani Mabingwa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, napenda kuwapa taarifa kwamba timu kamili ikijumuisha kikosi cha kwanza kama kinavyoonekana katika picha, itaondoka siku ya jumamosi alfajiri kuelekea Makambako kwa ajili ya mechi mbili yaani Makambako Veterans VS Golden Bush na Mafinga Veterans vs Golden Bush.
 Games zote zitapigwa uwanja Makambako Veterans siku ya tarehe 22/06/2014. Kwakutambua...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMBO YOTE JUMAPILI HII TAMASHA LA KISWAHILI JUMAPILI HII-(WASHINGTON DMV) -MABALOZI WA NA NCHI ZOTE ZA MASHARIKI WATHIBITISHA KUWEPO.


MAYOR WA MJI WA BLADENSBURG KUHUTUBIA, MABALOZI WA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI WATAKUWEPO,FREE BOAT RIDE KUZUNGUKA MTO, MICHEZO YA WATOTO, UTAMADUNI WA AFRIKA MASHARIKI,VENDORS,CHAKULA CHA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA SAFARI RESTAURANT DC, VINYWAJI BARIDI VYOTE VINAPATIKANA:                                               HAKUNA KIINGILIO NI BUREEE!

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) mjini Dallas,Marekani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete walitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) na kujionea nafasi kubwa iliyotolewa kwa Tanzania na zawadi ambazo Rais Bush alizipata katika ziara yake rasmi ya Tanzania wakati akiwa Rais wa Marekani. Maktaba hiyo ya kuvutia inaendeshwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa ya habari na mawasiliano.
Rais Kikwete alikuwa amesimama mjini Dallas kwa muda akiwa njiani kutoka Washington D.C., kwenda Houston, jimbo hilo hilo la...

 

11 years ago

TheCitizen

Man hides in ‘a bush’? No; in ‘the bush’

In the January 19 edition of the Sunday tabloid that’s close to this columnist, there’s a photo on Page 3, whose caption reads: “Geita Primary School teacher … opens a toilet door which has been damaged by a recent downpour. Pupils answer to the call of nature in A NEARBY BUSH.”

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA GOLDEN FLEET LTD NA GOLDEN COACH LTD WAKABIDHI MAGODORO 30 MHIMBILI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Golden Fleet LTD na Golden Coach LTD Bw. Mohamed Raza Dewji (kulia) akimkabidhi Afisa Uuguzi wa Idara ya Uuguzi na Ubora wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Bi. Mariana Makanda msaada wa vitanda thelasini na magodoro thelasini, katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja wa hospitali hiyo Bw. Aminiel Eligaesha. Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Golden Fleet LTD na Golden Coach LTD Bw. Mohamed Raza Dewji (kulia) akieleza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani