Serikali kuipa nguvu NACTE
SERIKALI imesema itaendelea kusaidia upatikanaji wa rasilimali watu na fedha ili kuliwezesha Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kutekeleza malengo yake ya kukuza stadi na maarifa kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu shule za msingi na za sekondari.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
Kikwete amezitaka nchi za Afrika kuipa nguvu Mahakama ya Afrika ili iweze kusikiliza kesi za jinai
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu mjini Arusha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo.
Na Mahmoud Ahmad, Arusha
Rais Jakaya Kikwete...
10 years ago
Vijimambo22 Feb
SERIKALI YAAHIDI KUIPIGA JEKI NACTE
![](http://api.ning.com/files/QxYZWE5p2qsZeXMMnei5zGXXGl6rADugbkOnekUv1C*gpcH6tX9goH6mU4g5AvmIOwHrGSJL5zySC1Zq0cp9PG9YF9bhzIAK/001.jpg)
![](http://api.ning.com/files/QxYZWE5p2qtQsmo99q1QaZar8FJUbz1zKPJ7DUab-9UUFoYrxfP-yjcMTDNVDL3jYet32932Le3TKFVscIFUSuxQQNSNgDwT/002.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QxYZWE5p2qsZeXMMnei5zGXXGl6rADugbkOnekUv1C*gpcH6tX9goH6mU4g5AvmIOwHrGSJL5zySC1Zq0cp9PG9YF9bhzIAK/001.jpg)
SERIKALI YAAHIDI KUIPIGA JEKI NACTE
11 years ago
Habarileo24 Jan
Serikali yaelekeza nguvu Morogoro
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametaka matengenezo ya eneo la Daraja Mkundi lililozolewa na mafuriko likamilike haraka ili magari yaanze kupita. Dk Magufuli jana alitembelea eneo la Dumila na baada ya kujionea hali halisi alimwagiza Kaimu Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Crispianus Ako na watendaji wengine waandamizi kutoka Tanroads na Wizara ya Ujenzi kuwa hapo muda wote wakati kazi za kurejesha mawasiliano zikiendelea.
11 years ago
Habarileo09 Aug
Serikali yaongeza nguvu kukabili ebola
SERIKALI imeongeza nguvu ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa ebola iwapo utatokea, kwa kuwapima wasafiri na wageni wanaoingia nchini kupitia viwanja vikubwa vitano vya ndege. Vipimo hivyo vitafanywa ili kubaini iwapo wana vimelea vya ugonjwa huo, kwa kutumia mashine za thermoscan zinazotarajiwa kuingia nchini wiki mbili zijazo.
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Serikali yaongeza nguvu kuikabili Ebola
Yatenga sh. bilioni 1.8 kupambana nayo
NA RABIA BAKARI
SERIKALI imeendelea kuchukua tahadhari kutokana na ugonjwa wa Ebola kusambaa kwa kasi kubwa na kubisha hodi katika nchi za Afrika Mashariki.
Ugonjwa huo ambao uliweka mizizi katika nchi za Afrika Magharibi, umeua mamia ya watu na kasi yake imezidi kuyatisha mataifa mbalimbali duniani.
Kutokana na tishio hilo, serikali imefunga vifaa vya kisasa katika viwanja vikubwa vya ndege nchini ili kudhibiti ugonjwa huo kuingia.
Tayari mashine maalumu...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Bunge dhaifu linaweza kuidhibiti serikali yenye nguvu?
KUNA mambo mawili yamenifanya nitafakari tena kuhusu uhalisia wa kazi za Bunge. Na kwa uhalisia nilikuwa naangalia kazi yake kuidhibiti serikali. Hii ni kazi kubwa ya sana na muhimu kwa Bunge. Lakini inaelekea...
11 years ago
Dewji Blog12 May
Elekezeni nguvu zenu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa- Tindu Lissu
Mbunge Tundu Lissu, Singida Mashariki
Na Nathaniel Limu, Ikungi
MBUNGE wa Jimbo la Singida mashariki kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amewataka wananchama wa chama hicho kata ya Iseke tarafa ya Ihanja wasibweteke na ushindi wa udiwani walioupata katikati ya mwaka jana, na badala yake waelekeze nguvu zao zote kwenye uchanguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika oktoba mwaka huu.
Amesema ushindi huo utakuwa na maana zaidi endapo CHADEMA itazoa nafasi zote za uenyeviti wa...
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Tuone kweli kama ni nguvu ya soda au nguvu ya jua
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.