Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAAHIDI KUIPIGA JEKI NACTE‏

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi   Dkt. Shukuru Kawambwa  (kushoto)akimsikiliza kwa makini  Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela  wakati alipokuwa akimfafanulia jambo alipokuwa mgeni rasmi kwenye  hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani lililopo makao makuu ya ofisi hiyo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katibu… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAAHIDI KUIPIGA JEKI NACTE

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto)akimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela wakati alipokuwa akimfafanulia jambo alipokuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani lililopo makao makuu ya ofisi hiyo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela ( aliyesimama) akifafanua jambo mgeni rasmi...

 

9 years ago

Habarileo

TIB kuipiga jeki Tanesco

BENKI ya Maendeleo ya TIB imesaini makubaliano na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa ajili ya kuanza mradi wa ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji wa umeme kutoka Somanga, Kilwa hadi Kinyerezi, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

KEVERA AJITOA KWA VIJANA KATIKA KUIPIGA JEKI SEKTA YA MICHEZO

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Scolastica Kevera akikabidhi jezi kwa Nahodha wa Timu ya Twiga,Abuu Nido baada timu hiyo kuzishinda timu katika mechi zilizopigwa katika uwanja wa twiga Tabata Kiswani Jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi wa Globu ya Jamii.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Scolastica Kevera amesema kuwa yeye ni mwanamichezo...

 

9 years ago

GPL

NACTE YATOA TARATIBU ZA UENDESHAJI WA MAFUNZO YA UFUNDI NCHINI‏

Kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Adolf  Rutayuga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo (pichani) wakati alipokuwa akiongea nao makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo Mikocheni  jijini Dar es Salaam, kuhusiana na  maamuzi mbalimbali yaliyofanywa  na baraza hilo katika kuratibu uendeshaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi na ufuatiliaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuipa nguvu NACTE

SERIKALI imesema itaendelea kusaidia upatikanaji wa rasilimali watu na fedha ili kuliwezesha Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kutekeleza malengo yake ya kukuza stadi na maarifa kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu shule za msingi na za sekondari.

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAIPIGA JEKI SHULE YA BARAZANI MANYARA‏

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Barazani iliyoko wilayani Mbulu mkoani Manyara wakishuhudia tukio la makabidhiano ya jengo la darasa lililojengwa kwa msaada na Vodacom Foundation.…

 

10 years ago

GPL

NACTE YAVIFUTIA USAJILI VYUO VITATU (3) NA KUVISHUSHA HADHI VYUO KUMI NA SITA (16)‏

HOTUBA YA KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) DKT ADOLF B. RUTAYUGA KUHUSU TAMKO LA BARAZA LA KUVIFUTIA USAJILI BAADHI YA VYUO NA KUVISHUSHA HADHI VINGINE - 24/06/2015 Ndugu waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, ninayo furaha kubwa kuwakaribisha katika ofisi za Baraza. Lengo la kuwaita hapa leo ni kuwapa taarifa juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Baraza ikiwa ni katika jitihada za...

 

10 years ago

GPL

UNESCO YAAHIDI KUVIENDELEZA VYOMBO VYA HABARI JAMII KUKUZA DEMOKRASIA‏

Mwalikishi wa Shirika la Kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambaye pia ni mshauri na mkufunzi wa redio jamii, Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania, Zulmira Rodrigues kwenye sherehe za uzinduzi wa kituo hicho cha redio jamii Uvinza FM uliofanyika wilayani Uvinza mkoani Kigoma. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya akifanyiwa mahojiano mafupi ndani...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaahidi kuwalipa makandarasi

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amesema Serikali italipa madeni ya makandarasi na watumishi ambayo yamehakikiwa na pia itapeleka TAMISEMI orodha ya halmashauri ambazo zimetoa madeni hewa ili yalipwe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani