Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO WATEKETEZA GHALA LA KUHIDHIA RANGI, KIJITONYAMA JIJINI DAR

Askari wa Kikosi cha zima moto wakiendelea na zoezi la uzimaji moto katika ghala la kuhifadhi rangi za kampuni ya Colar Paint lililopo katika Mtaa wa Kenya, Kijitonyama usiku wa kuamkia leo. Chanzo cha moto huo hakijafahamika mpaka sasa na eneo kubwa la ghala hilo limeteketea kabisa kwa moto huo hakuna mtu yeyote alieripotiwa kupoteza maisha au kujeruhiwa katika moto huo.…
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MOTO WATEKETEZA GHALA LA KUHIDHIA RANGI,KIJITONYAMA JIJINI DAR

 Askari wa Kikosi cha zima moto wakiendelea na zoezi la uzimaji moto katika ghala la kuhifadhi rangi za kampuni ya Colar Paint lililopo katika Mtaa wa Kenya,Kijitonyama usiku huu.Chanzo cha moto huo hakijafahamika mpaka sasa na eneo kubwa la ghala hilo limeteketea kabisa kwa moto huo.hakuna mtu yeyote alieripotiwa kupoteza maisha au kujeruhiwa katika moto huo.Mpaka Globu ya Jamii inaondoka eneo la tukio,eneo kuwa la moyo huo lililiwa limeshazimwa.
Sehemu ya Maduka yaliyokuwa yamezunguka nje...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza ghala Vingunguti

GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza ghala la Polisi Moshi

MOTO uliozuka jana katika ghala la Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA), umeteketeza vitu mbali mbali vilivyokuwa katika jengo hilo ambalo limekuwa likitumika kama stoo ya kuhifadhi majora ya...

 

10 years ago

GPL

MOTO WATEKETEZA VIWANDA, MADUKA ENEO LA KIBANGU JIJINI DAR

Moto ukiteketeza maduka yaliyokuwa jirani na viwanda vilivyoteketea Kibangu. Vibanda vikiteketea kwa moto eneo hilo.…

 

11 years ago

Michuzi

Breaking Newssss: moto wateketeza soko la mitumba la karume jijini Dar usiku huu

Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam  ambalo linateketea na moto usiku huu.  Taarifa zilizotufikia katika meza ya usiku zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika  kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo  hilo. Tunafuatilia kujua kama kuna watu walioathirika na moto huo pamoja...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO ULIOZUKA KATIKA GHALA LA KUHIFADHIA BIDHAA DAR

MOTO huu umezuka leo asubuhi katika ghala la kuhifadhia bidhaa mbalimbali maeneo ya barabara ya Pugu jijini Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya Times FM)

 

11 years ago

Mwananchi

Ghala la viinilishe vya binadamu laungua moto Dar es Salaam

>Moto umezuka kwenye ghala la kuhifadhia dawa za binadamu ambalo pia ni Hifadhi ya Taifa ya Viinilishe ambalo linamilikiwa na Philips Pharmaceuticals, lililopo eneo la Vingunguti na kuteketeza mali zilizokuwemo humo.

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA MOTO ULIOZUKA KATIKA GHALA LA KUHIFADHIA BIDHAA DAR

MOTO huu umezuka leo asubuhi katika ghala la kuhifadhia bidhaa mbalimbali maeneo ya barabara ya Pugu jijini Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya Times…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani