PPF na neema ya fao la elimu kwa wategemezi
MFUKO wa Pensheni wa PPF unajivunia kuwa mfuko wa kwanza wa hifadhi ya jamii nchini kutoa fao la elimu ambalo mpaka sasa wamesomesha zaidi ya wanafunzi 2000. Fao hili hutolewa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTAASISI YA KIFEDHA YA BAYPORT YAKABIDHI HUNDI YA MIL 3 KWA WATEGEMEZI WA FAO LA ELIMU MKOANI MBEYA
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Bayport yamfuta machozi Latifa Juma kupitia fao la Bima ya Elimu kwa Uwapendao
![](http://2.bp.blogspot.com/-FvRe9FFH7q4/VYk1UX58zSI/AAAAAAAAI-A/d17FJFglTXY/s640/20150623_111002.jpg)
Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, kushoto akimkabidhi hundi Latifa Juma yenye thamani ya Tsh 3,000,000, baada ya mzazi wake Juma Said, aliyekuwa Mchapa Vitabu wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, jijini Dar es Salaam. Kulia ni mume wa Latifa, anayeitwa Bakari Msumi. (Picha zote kwa Hisani ya Bayport Financial Services).
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services, leo jioni imemkabidhi...
10 years ago
Habarileo24 Sep
Neema ya elimu kwa wasichana
TANZANIA ni moja ya nchi zitakazonufaika na ushirikiano mpya wa kimasomo, uliosainiwa jijini hapa juzi kwa lengo la kuwasaidia wasichana kujikita katika nyanja za Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati. Katika ushirikiano huo, miongoni mwa manufaa yake ni kutoa fursa kwa wasichana, watakaofanya vizuri kimasomo kusoma katika vyuo vya elimu ya juu nchini Marekani.
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
LAPF yaanzisha fao la Elimu
WANACHAMA wa Mfuko wa Penseni wa LAPF watanufaika na fao jipya la Elimu lilozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Wanachama LAPF kunufaika fao la elimu
WANACHAMA wa mfuko wa Pensheni wa LAPF wanatarajiwa kunufaika na fao jipya la elimu lililozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’, limelenga kuwakopesha wanachama...
10 years ago
Habarileo22 Feb
Hawa Ghasia afagilia fao la elimu la LAPF
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, amesema fao la mkopo wa elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, ni msaada mkubwa kwa waajiri nchini ikiwemo Serikali.
10 years ago
StarTV28 Dec
Mifuko Hifadhi ya Jamii yahimizwa kuboresha fao la elimu.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Mifuko ya hifadhi ya Jamii Nchini imepewa changamoto ya kuboresha sera zake za fao la elimu ziendane na wakati uliopo.
Hatua hii itawawezesha watoto wa wanachama walio katika sekta za umma na binafsi kupata fursa ya elimu pindi wazazi wanapofariki ama kukosa uwezo wa kufanya kazi.
Licha ya hamasa ndogo waliyonayo wananchi hususani kutoka sekta binafsi katika kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii, haki ya fao la elimu ambalo sio la mkopo linatajwa kuwa muhimu...
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA