Neema ya elimu kwa wasichana
TANZANIA ni moja ya nchi zitakazonufaika na ushirikiano mpya wa kimasomo, uliosainiwa jijini hapa juzi kwa lengo la kuwasaidia wasichana kujikita katika nyanja za Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati. Katika ushirikiano huo, miongoni mwa manufaa yake ni kutoa fursa kwa wasichana, watakaofanya vizuri kimasomo kusoma katika vyuo vya elimu ya juu nchini Marekani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
PPF na neema ya fao la elimu kwa wategemezi
MFUKO wa Pensheni wa PPF unajivunia kuwa mfuko wa kwanza wa hifadhi ya jamii nchini kutoa fao la elimu ambalo mpaka sasa wamesomesha zaidi ya wanafunzi 2000. Fao hili hutolewa...
11 years ago
Habarileo06 Mar
RC ahimiza elimu chanjo ya saratani kwa wasichana
WAKUU wa wilaya, wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuelimisha jamii kuhusu utoaji wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi. Chanjo hiyo itafanywa kwa wasichana wenye umri wa kati ya miaka tisa na 13.
11 years ago
Michuzi
MRADI WA HAKUNA WASICHOWEZA WATOA ELIMU NA MISAADA YA VIFAA VYA KUJISITIRI WAKATI WA HEDHI KWA WASICHANA 6000 MKOANI MTWARA

5 years ago
Michuzi
WAZIRI WA ELIMU AFURAHISHWA NA UJENZI WA SEKONDARI YA WASICHANA WILAYANI CHAMWINO


WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kuunga mkono juhudi za wabunge katika ujenzi wa shule...
11 years ago
Dewji Blog03 May
Wasichana 30 jijini Mwanza wapatiwa mafunzo ya siku tano kuhusu elimu ya ukatili wa kijinsia majumbani
Mkufunzi wa Masuala ya Kijinsia Bi. Tumaini Kyola akitoa mafunzo kwa kundi la Wasichana 30 ambao hawako mashuleni juu ya mbinu mbalimbali za kuelemisha jamii kuhusu masuala Ukatili wa Majumbani na wa kingono pia. Wasichana hawa wanategemewa kwenda kuwafundisha wasichana wenzao wa mitaani, kila mmoja amepewa lengo la kufikia wasichana 50.
Baadhi ya wasichana 30 wakiwa makini kufuatilia mafunzo waliokuwa wakipatiwa na mkufunzi wao (hayupo pichani), hili ni kundi la kwanza kwa wasichana...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog31 May
Mchumi wa Wizara ya Viwanda na Biashara kugombea ubunge jimboni kwa Mgimwa, asema wana Mufindi wajiandae kwa neema mpya ……


Na FGBLOG, MUFINDI
MDAU mkubwa wa maendeleo ya elimu katika wilaya ya Mufindi mkoani Iringa na mzaliwa wa kijiji cha Nungwe, wilayani Mufindi Mkoani Iringa Bw Exaud Kigahe ambae ni mchumi mkuu wa wizara ya viwanda na biashara amepania kuwakomboa kimaendeleo wakazi wa jimbo la Mufindi Kaskazini linaloongozwa na Naibu Waziri wa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Vita ya CCM neema kwa Watanzania
HAKUNA ubishi. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeingiliwa au tuseme kuvamiwa na kansa mbaya. Hakuna kitu kinakitafuna chama hiki kama mdudu wa kupenda madaraka huku wanaoyatafuta wakiwatumia makada wa chama sehemu...
11 years ago
Habarileo26 Oct
China yamwaga neema kwa Tanzania
SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imetangaza neema kubwa kwa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutoa dola za Marekani milioni 85 (Sh bilioni 140) kwa ajili ya shughuli za maendeleo na kuisaidia Tanzania kufanya mageuzi ya viwanda.