Serikali kutoa tabuleti ya kufundishia sekondari
SERIKALI inakusudia kutoa tabuleti ya kufundishia masomo mbalimbali kwa wanafunzi na walimu wa shule za sekondari nchini, kama njia ya kukabili changamoto kwenye sekta ya elimu kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT). Ili kufanikisha mpango huo, Serikali inakusudia kuingia ushirikiano na taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Opportunity Education Trust ya Marekani.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.
Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.
Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Serikali ijibu fumbo la lugha ya kufundishia nchini
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Sekondari St. Matthew yajivunia kutoa mazao bora
NJIA pekee ya kufaulisha wanafunzi shuleni ni kutoa motisha kwa walimu, miundombinu bora kwa shule na vifaa vya kufundishia vya kutosha. Mpango wa serikali wa kupata Matokeo Makubwa Sasa (Big...
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Tigo kusaidia mpango wa kujenga na kutoa vifaa kwa maabara ya shule za sekondari wilayani Mtwara
Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Bw.Daniel Mainoya (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu harambee inayojulikana kama Tigo Mtwara Benefit Gala kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika wilaya ya Mtwara, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya hiyo,Bw. Wilman Ndile na kulia ni Meneja maendeleo ya bishara kampuni ya 361 Degrees,Hamis Omary.
Tigo Tanzania leo imetangaza kwamba itasaidia kujenga na kuchangia vifaa katika maabara ya shule za sekondari ambazo zimekwisha jengwa wilayani Mtwara....
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Dk. Shukuru Kawambwa aipongeza Shule ya sekondari ” Imperial” kwa jinsi ilivyojipanga kutoa elimu bora
Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...
9 years ago
VijimamboMAMLAKA YA HALIYA HEWA YAANZA KUTOA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI DODOMA
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Serikali yaipongeza Sekondari ya St Matthew
MKURUGENZI wa shule za sekondari za serikali nchini, Paulina Mkonongo, ameipongeza Shule ya Sekondari ya St Matthew iliyopo Mkuranga, Pwani kwa kufaulisha wanafunzi wa kidato cha nne kwa zaidi ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-tknbYmhIceA/U_2j-pSBZJI/AAAAAAAABkE/LxTfuzPX150/s72-c/kikwete-new-748393.jpg)
Serikali kufuta ada sekondari
Lengo kuwa na elimu bure hadi kidato cha nne JK asema ni mkakati wa kuboresha elimu nchini
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza anamaliza kidato cha nne.
Rais Kikwete alikuwa akizungumza jana na wanajumuia ya Chuo Kikuu Mzumbe, Morogoro na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho ikiwa sehemu ya...