Serikali yaonya wauguzi kwa lugha mbaya
SERIKALI imewataka wauguzi nchini kuacha kutoa lugha mbaya kwa wananchi. Badala yake, wametakiwa kuboresha utoaji wa huduma za afya na kuwa wepesi wa kusahihisha mapungufu ili kuhakikisha huduma sahihi zinatolewa.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Mar
Coronavirus: WHO yaonya mataifa ya Afrika 'yajiandae kwa hali mbaya'
10 years ago
GPL
BASATA YAONYA LUGHA CHAFU NA MAADILI KWENYE KAMPENI
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
BASATA yaonya wasanii dhidi ya lugha chafu, maadili wakati huu wa kampeni za kisiasa
Katibu Mtendaji, Basata, Godfrey L. Mngereza.
Katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi...
10 years ago
StarTV03 Dec
Serikali yaonya watumishi wanaofanya kazi kwa mazoea.
Na Wilson Elisha,
Magu Mwanza.
Serikali imewaonya watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake wawajibike kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ametoa onyo hilo wilayani Magu wakati akizungumza na watumishi wa sekta mbalimbali ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa ziara yake mkoani Mwanza.
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mlongo wakati akizungumza na watumishi wa wilaya ya Magu.
Amesema Serikali haiwezi...
10 years ago
Michuzi
BASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi kulenga katika kuigawa jamii na kufifisha...
11 years ago
GPL
JK AUNGANA NA WAUGUZI KUSHEREHEKEA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI JIJINI ARUSHA JANA
10 years ago
Vijimambo05 May
SERIKALI YAANZISHA KURUGENZI YA WAUGUZI NA WAKUNGA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakunga waliozawadiwa zawadi mbalimbali kutokana na mchango wao katika kuwahudumia wajawazito wanaojifungua katika meneo mbalimbali nchini. Mheshimiwa Pinda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe...
10 years ago
Habarileo14 Nov
Serikali yaonya wawekezaji feki
SERIKALI imeyaonya baadhi ya kampuni yenye nia ya kuja nchini kwa ajili ya uwekezaji katika sekta ya nishati, kuhakikisha hayashbikii vitendo vya rushwa.
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Serikali yaonya ubadhilifu wa wahitimu
Wahitimu 1,808 wa fani mbalimbali wa vyuo vya uhasibu tawi la Mwanza na Singida, wakiwa kwenye maandamano ikiwa ni sehemu ya mahafali yao ya 12 yaliyofanyika mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
SERIKALI imeonya kwamba wahitimu wa ngazi mbalimbali za uhasibu na ugavi, haitawavumilia endapo watajihusisha na vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa mali ya umma, kwa madai kwamba itawachukulia hatua kali za kisheria.
Aidha, imedai kwa sasa wataalamu wa nafasi hizo...