BASATA YAONYA LUGHA CHAFU NA MAADILI KWENYE KAMPENI
Katibu Mkuu Mtendaji Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), Geofrey Ngereza. BASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa. Lugha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
BASATA yaonya wasanii dhidi ya lugha chafu, maadili wakati huu wa kampeni za kisiasa
Katibu Mtendaji, Basata, Godfrey L. Mngereza.
Katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi...
9 years ago
MichuziBASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi kulenga katika kuigawa jamii na kufifisha...
10 years ago
GPLBASATA YALAANI TABIA CHAFU NA ISIYO NA MAADILI ILIYOONESHWA NA MSANII SHILOLE KWENYE ONESHO LAKE NCHINI UBELIGIJI
10 years ago
MichuziBASATA YALAANI TABIA CHAFU NA ISIYO NA MAADILI ILIYOONESHWA NA MSANII SHILOLE KWENYE ONESHO LAKE NCHINI UBELGIJI
Katika picha hizo ambazo zimelaaniwa na watanzania wengi nchini kupitia njia mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii, Shilole anaonekana akiwa Jukwaani huku viungo vyake vya sehemu za siri vikiwa hadharani na zaidi akionesha tabia ambazo kwa kiasi kikubwa...
10 years ago
Vijimambo14 May
BASATA YALAANI TABIA CHAFU NA ISIYO NA MAADILI ILIYOONESHWA NA MSANII SHILOLE
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limeona picha chafu na zisizo na maadili za Msanii Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole alipokuwa akifanya onesho lake nchini Ubeligiji hivi karibuni.
Katika picha hizo ambazo zimelaaniwa na watanzania wengi nchini kupitia njia mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii, Shilole...
10 years ago
MichuziMh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni
10 years ago
Dewji Blog14 May
BASATA kumweka ‘kitimoto’ Msanii Shilole kufuatia kukiuka maadili kwenye onesho lake nchini Ubelgiji
Msanii Shilole (kushoto) na kulia ni Katibu Mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza
TAARIFA YA BASATA JUU YA KULAANI TABIA CHAFU NA ISIYO NA MAADILI ILIYOONESHWA NA MSANII SHILOLE KATIKA ONESHO LAKE NCHINI UBELGIJIBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limeona picha chafu na zisizo na maadili za Msanii Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole alipokuwa akifanya onesho lake nchini Ubelgiji hivi karibuni.
Katika picha hizo...
11 years ago
Habarileo27 Mar
Lugha chafu Chalinze zamkera Lubuva
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vipo baadhi ya vyama vya siasa vinavyotumia lugha za chuki na zisizokuwa na staha katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani.
11 years ago
Habarileo27 Mar
LHRC: Wanasiasa acheni lugha chafu
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeomba Msajili wa Vyama vya Siasa, kukaa na vyama vya siasa na kuvitaka viache kutoa lugha ya vitisho, kashfa na ubaguzi wa kijinsia kwenye mikutano ya kampeni.