JK, TCD watoa mwelekeo mpya
![](http://2.bp.blogspot.com/-V3LyTJ3914A/VA8gr97tPZI/AAAAAAAABo4/YiNRUS5FRMs/s72-c/jk%2B3.jpg)
Bunge la Katiba kuendelea, UKAWA waridhiaKatiba iliyopo kuboreshwa kwa uchaguzi ujao
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA
KIKAO baina ya Rais Jakaya Kikwete na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimetoa mwelekeo mpya katika mchakato wa Katiba Mpya.Mwelekeo huo ni matunda ya vikao viwili, ambavyo Rais Kikwete alivifanya na vyama wanachama wa TCD, kwa ajili ya kujadili changamoto za Bunge Maalumu la Katiba, baada ya baadhi ya vyama kususia vikao vya bunge hilo vinavyoendelea mjini Dodoma.
Katika kikao...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Mwelekeo mpya
![Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Andrew-Chenge.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge
MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA
KAMATI ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba imewasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa ikionyesha jinsi ilivyoifumua rasimu iliyowasilishwa bungeni hapa mwanzoni mwa mwaka huu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.
Rasimu hiyo iliwasilishwa bungeni jana na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Andrew Chenge ambapo imeongeza mambo ya muungano kutoka saba...
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Kikao cha tcd, ni kipi mlichokubaliana kuhusu hatima ya Katiba Mpya?
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Sera ya elimu ni mwelekeo mpya wa mafanikio
Na Markus Mpangala
TANGU kutangazwa kwa mpango mpya wa elimu kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na suala hilo. Baadhi walikuwa wakishangazwa na mpango huo lakini wakakosa hoja za msingi kukosoa zaidi ya malalamiko ya kawaida na yaliyozoeleka.
Wakosoaji hawajatoa njia mbadala wala hawataki kuona mambo mazuri yaliyobuniwa. Binafsi ninadhani ni sahihi kubadili muundo wa elimu ambao kwa namna moja ama nyingine unatusaidia kuendelea kutumia nguvu za ujana kwa kutafuta maarifa zaidi kuliko...
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Sura na mwelekeo mpya wa elimu Tanzania
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Katiba: Mwelekeo mpya kujulikana leo
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Katiba Mpya imetoa mwelekeo mbaya wa nchi
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Mwelekeo mpya; Ukawa wasema serikali ya mseto inanukia 2015
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Mwelekeo mpya bungeni, Pinda atoa hoja kutuliza hali ya hewa
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
WHO watoa ripoti mpya kuhusu Ebola