Hatima ya Mrema TLP kujulikana leo
Na Michael Sarungi, Asifiwe George,Dar es Salaam
HATIMA ya Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema kuendelea kuongoza chama hicho inatarajiwa kujulikana leo baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuingilia kati.
Hatua hiyo imekuja baada ya kundi la wanachama wa TLP kuandika barua ya malalamiko kutaka kufanyika kwa uchaguzi wa ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Malalamiko hayo yamemlazimu msajili kuingilia kati na kuziita pande mbili...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Hatima ya Rage kujulikana leo
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Hatima ya mwili wa Mawazo kuagwa ama kutoagwa Jijini Mwanza kujulikana leo
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imeahirisha kesi ya madai ya kuomba ridhaa ya kufanya ibada ya Mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoani Geita Marehemu Alphonce Mawazo iliyowasilishwa na Mchungaji Charles Lugiko ambae ni baba mlezi wa marehemu Mawazo
Katika kesi hiyo, mlalamikaji anaiomba mahakama kuondoa zuio la jeshi la polisi Mkoani Mwanza la kutoruhusu shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Mawazo...
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Hatima ya Zanzibar bado kujulikana
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Hatima ya Duni kujulikana Januari
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Wanachama TLP walia na Mrema
WANACHAMA wa Tanzania Labour Party (TLP), wamemjia juu Mwenyekiti wao, Augustino Mrema, kwa madai anang’ang’ania madaraka huku akishindwa kuitisha uchaguzi mkuu kama katiba yao inavyoeleza. Kutokana na hali hiyo, wanachama...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ac4N_8JVY6k/VLkwnOk98PI/AAAAAAAG93U/VE37c4_f4yk/s72-c/DSC_0735.jpg)
SING’OKI NG’O TLP- MREMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ac4N_8JVY6k/VLkwnOk98PI/AAAAAAAG93U/VE37c4_f4yk/s1600/DSC_0735.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party TLP,Agustine Lyatonga Mrema amesema hangoki ng’o katika nafasi ya uenyekiti TLP.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magomeni jijini Dar es salaam leo,Mrema amesema hajavunja katiba ya TLP hivyo yeye ni mwenyekiti halali.
Mrema amesema watu wanampiga majungu wakiwemo na UKAWA katika kuhakikisha TLP inasambaratika ,lakini hawataweza pamoja na kikundi hicho cha panya road.
Amesema kikundi...
10 years ago
MichuziSIJAFUKUZWA UANACHAMA WA TLP-MREMA
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
MWENYEKITI wa Chama cha Tnzania Labour Party (TLP) Agustino Mrema,amesema hajafukuzwa unachama katika chama hicho.
Mrema aliyasema hayo...
10 years ago
Mtanzania07 May
Mrema avuliwa uanachama TLP
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.
Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na MTANZANIA Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.
Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine waliovuliwa uanachama ni Hamisi...
10 years ago
Habarileo22 May
Mrema akanusha kufukuzwa TLP
MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) Augustino Mrema ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Vunjo amekanusha kufukuzwa katika chama chake.