Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo ya uchaguzi Nigeria kujulikana leo.

Mkuu wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Nigeria amesema anatumaini kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa rais nchini humo ifikapo Jumatatu jioni.

Upigaji kura uliendelea katika siku ya pili ya uchgaguzi baada ya kutokea hitilafu katika kadi za kielektroniki na kuchelewesha usajili wa baadhi ya wapiga kura.

Mama akipiga kura nchini Nigeria

Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, INEC, Attahiru Jega. “Tumaini letu na ambalo tumekuwa tukilifanyia kazi kwa bidii ni kuweza...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya uchaguzi Nigeria leo jioni

Matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Nigeria yanatarajiwa kutangazwa Jumatatu jioni

 

11 years ago

GPL

BAADHI YA MATOKEO UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI LEO

CHADEMA WAMESHINDA: Sombetini Arusha, Kata ya Njombe Mjini, Kata ya Kiboriloni Kilimanjaro, Kata ya Partimbo na Kata ya Loolera zote za Kiteto! CCM WAMESHINDA: Kata ya Tungi Morogoro, Kata ya Kiomoni Tanga na Kata zote tatu za mkoa wa Iringa!

 

9 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI NA RAIS KIKWETE IKULU BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA URAIS KATIKA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU LEO

ma1Rais Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii mag2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila pembe ya dunia  mshindi wa ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani