MSHINDI WA PILI MISS TANZANIA USA PAGEANT AHUDHURIA DMV AWARDS
Mshindi wa pili wa Miss Tanzania USA Pageant Kupewa Mushala (watatu toka kushoto) wakiongea na aliyekua Miss Kenya 2013 (wakwanza kushoto) walipokutana kwenye DMV award iliyofanyika usiku wa Jumamosi Novemba 8, 2014 Downtown, Silver Spring, Maryland nchini Marekani. wengine katika picha na Mkurugenzi wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Cassey (wapili toka kushoto), Miss Kenya 2014 (wanne toka kushoto) na mratibu wake.
Kutoka kushoto ni Miss Kenya 2013, Mkurugenzi wa Miss Tanzania USA...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMISS TANZANIA USA PAGEANT JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV
11 years ago
GPLMISS TANZANIA USA PAGEANT, JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV
9 years ago
MichuziMISS TANZANIA USA AHUDHURIA MKESHA WA MWAKA MPYA DMV
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SUOzv1-QW2o/U7MZ8y1IVPI/AAAAAAAFuFk/FtEx_0Nroao/s72-c/unnamed+(1).png)
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Aysha Cheyo ndiye Miss Tanzania USA Pageant 2014
Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya kunyakua taji hilo kwenye mashindano ya umiss yaliyofanyika Slvr Spring, Maryland nchini Marekani.
![](http://3.bp.blogspot.com/-UADjntuIimk/VAZXkbU4lbI/AAAAAAAC-4c/Ff-KliwKqHo/s1600/8U5A4356.jpg)
Miss Tanzania USA pageant 2013 Joy Kalemera akipigia makofi mshindi mpya wa taji hilo Aysha Cheyo mara tu baada ya kumaliza kumvika taji hilo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-RMlsfe9qQXk/VAZXj93k9II/AAAAAAAC-4Y/L2N3Mtrs-MA/s1600/8U5A4358.jpg)
Mshindi wa taji la miss Tanzania USA Pageant Aysha Cheyo akiwa na furaha ya kunyakua taji hilo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-xnnuunnTej8/VAZXmaGhG-I/AAAAAAAC-4s/9rdGsk8FG9s/s1600/8U5A4366.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-2fZeiDWzmrA/VAZXkPMYw0I/AAAAAAAC-4g/mOf1SqKinf4/s1600/8U5A4347.jpg)
AYSHA CHEYO NDIYE MISS TANZANIA USA PAGEANT 2014
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png?width=640)
KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5HpdB4YfG7I/VAFMswYSqKI/AAAAAAAC8mI/JSvVtq8jES4/s72-c/missTZ2014.png)
MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI
![](http://4.bp.blogspot.com/-5HpdB4YfG7I/VAFMswYSqKI/AAAAAAAC8mI/JSvVtq8jES4/s1600/missTZ2014.png)
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA