Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AYSHA CHEYO NDIYE MISS TANZANIA USA PAGEANT 2014‏

Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya kunyakua taji hilo kwenye mashindano ya umiss yaliyofanyika Slvr Spring, Maryland nchini Marekani.
Miss Tanzania USA pageant 2013 Joy Kalemera akipigia makofi mshindi mpya wa taji hilo Aysha Cheyo mara tu baada ya kumaliza… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Aysha Cheyo ndiye Miss Tanzania USA Pageant 2014

8U5A4347

Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya kunyakua taji hilo kwenye mashindano ya umiss yaliyofanyika Slvr Spring, Maryland nchini Marekani.

Miss Tanzania USA pageant 2013 Joy Kalemera akipigia makofi mshindi mpya wa taji hilo Aysha Cheyo mara tu baada ya kumaliza kumvika taji hilo.

Mshindi wa taji la miss Tanzania USA Pageant Aysha Cheyo akiwa na furaha ya kunyakua taji hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Aysha Cheyo anyaku taji la Miss Tanzania USA 2014

Miss Tanzania USA aliyemaliza muda wake Joy Kalemera akimvisha taji la Umiss Tanzania USA mshindi wa Miss Tanzania USA 2014 Aysha Cheyo aliyekuwa mwingi wa furaha. Pageant ya Mwaka huu ilifanyika huko Maryland, USA. Miss Tanzania USA Aysha Cheyo bado akifurahia ushindi huo kwenye Jukwaa. Miss Tanzania USA akiwa na mshindi wa pili Kupewa Mushala (kushoto) na Mshindi wa tatu Jessica L. Kalemera (kulia). Mama Winny Casey, CEO na Mwanzilishi wa Miss Tanzania USA akiwa Miss Tanzania USA mpya na...

 

11 years ago

GPL

MISS TANZANIA USA PAGEANT, JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV‏

Joy Kalemera (wapili toka kulia) akiwa College Park Maryland alipowatembelea darasa la kiswahili DMV siku ya Jumamosi Feb 8, 2014. Wengine katika picha ni waratibu wa Miss Tanzania USA akiwemo mkurugenzi Ma Winny Casey (wa kwanza kushoto) .
 Wanafunzi wa darasa la kiswahili DMV wakimsalimia Miss Tanzania USA Pageant na kumwimbia nyimbo mbalimbali za kiswahili ukiwemo wimbo wa… ...

 

11 years ago

GPL

HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA‏

Pichani ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani. Miss Tanzania 1999 ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu akipata ukodak na Miss Tanzania USA, Joy Kelemera baada ya mahojiano maalum nchini Marekani. Let us all wish her all the best!… ...

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI‏

 Miss Tanzania USA Pageant kesho itafikia ukingoni itakapofanyika Downtown, Silver Spring Maryland nchini Marekani katika picha Jesca Kalemera (aliyesimama) akijinoa mwishomwisho mbele ya washiriki wenzake huku Pendo Rancy (kushoto) mmoja ya waratibu wa Miss Tanzania USA Pageant akimsikiliza wengine katika picha ni washiriki wa Miss Tanzania USA Pageant 2014 Maria Rutayuga (wapili toka kushoto), Mercy Sukaya (watatu toka...

 

11 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!‏

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM ...

 

11 years ago

GPL

MISS ETHIOPIA NDIYE MISS AFRICA USA, JOY KALEMERA AWA WANNE‏

Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo. Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora… ...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Dewji Blog

Miss Ethiopia ndiye Miss Africa Usa 2014, Joy Kalemera awa wanne

Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo.

IMG_2395

Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani