Magufuli awashukia walipa kodi nchini
RAIS John Magufuli ametangaza kiama kwa wafanyabiashara wote wenye tabia ya kukwepa kulipa kodi na kusisitiza kuwa kamwe Serikali yake ya Awamu ya Tano, haitovumilia kitendo hicho. Kutokana na hayo, Dk Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara wote nchini waliokwepa kodi wakiwemo wale wa makontena takribani 349 yaliyopitishwa bandarini bila kulipa kodi, waende wakalipe kodi hiyo mara moja, vinginevyo sheria itafuata mkondo wake.
Aidha, amewatoa hofu wafanyabiashara wa sekta binafsi...
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s72-c/unnamed.jpg)
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s1600/unnamed.jpg)
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Wakwepa kodi walipa bilioni 10/-
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imekusanya Sh bilioni 10.75 kati ya Sh bilioni 80 zinazodaiwa kutoka kwa wafanyabiashara waliokwepa kodi kwa kupitisha makontena 329 bila kulipa ushuru.
Fedha hizo zimekusanywa ndani ya siku sita baada ya Rais John Magufuli kukutana na wafanyabiashara Ikulu jijini Dar es Salaam na kuwapa siku saba kulipa fedha hizo kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Chonde chonde Sitta, tuhurumie walipa kodi
KUMEKUWA na sababu nyingi sana zinazokwamisha maendeleo nchini. Lakini kikubwa inaonekana kana kwamba hatufahamu ni nini hasa kinatukwamisha. Ili kukabiliana na hilo, wakati umefika sasa wa kutafuta majibu ya matatizo...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Mwapachu awashukia watendaji wa EAC nchini
10 years ago
MichuziMPINGA AWASHUKIA MAWAKALA WA MABASI NA MADEREVA NCHINI
Akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa idara ya habari Maelezo Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Mohamed Mpinga amesema watachukua hatua kali kwa mawakala wataopandisha nauli za mikoani.
Mpinga alisema kikosi cha usalama barabarani kimejipanga...
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Magufuli: Nitaondoa misamaha ya kodi
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Walia na utitiri wa kodi nchini
10 years ago
Mwananchi02 Apr
Utitiri wa kodi nchini wamkera Kinana
11 years ago
Mwananchi19 Mar
TRA Mbeya yakiri wingi wa kodi nchini