TRA Mbeya yakiri wingi wa kodi nchini
>Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya imekiri kuwepo kwa utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara ambazo sasa ni kero kwao na kwamba sasa inaangalia upya njia sahihi ya kuzikusanya kwa pamoja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uZ1tqRQRY_c/VTEfaCqwtuI/AAAAAAAHRrE/y2thjXRrYvk/s72-c/1.jpg)
TRA yawapa somo wachina kuhusu sheria za ukusanyaji kodi nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-uZ1tqRQRY_c/VTEfaCqwtuI/AAAAAAAHRrE/y2thjXRrYvk/s1600/1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog11 Jul
Wadau wa sekta ya Bima nchini waaswa kushirikiana na TRA kutekeleza sheria mpya ya kodi
Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo Mwaseba akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua semina ya wadau wa bima kuhusu sheria mpya ya kodi ya mwaka 2014 ambayo imeanza kutumika Julai Mosi mwaka huu.(Picha na Eleuteri Mangi- MAELEZO).
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Wadau wa sekta ya Bima nchini wameaswa kushirikiana na Serikali kutekeleza sheria mpya ya kodi ya mwaka 2014 ili waweze kutoa huduma kwa jamii yenye tija kwa wakati na kulipa kodi stahiki.
Kauli...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa kutoka kwa […]
The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Mashine za TRA zanunuliwa kwa wingi
AGIZO la Serikali la kutaka wafanyabiashara kununua na kutumia mashine za kielektroniki (EFD), limeanza kutekelezwa kwa kasi mkoani hapa. Hatua hiyo inatokana na kile kilichoelezwa kuwa wafanyabiashara wakubwa, wameziingiza kwa wingi mashine hizo na kuuzia wenzao kwa bei ndogo.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3Au9o_7Sufs/VTeCKvcpeeI/AAAAAAAC3co/kiYF9WhqOdI/s72-c/4.jpg)
PDB YAKIRI KODI ZA BIASHARA SIZIZO RASMI HUISHIA KATIKA MIFUKO YA WATU NA SIO SERIKALI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-3Au9o_7Sufs/VTeCKvcpeeI/AAAAAAAC3co/kiYF9WhqOdI/s1600/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NptN70oxC-4/VTeCHmx_CaI/AAAAAAAC3cQ/5yDPc8BlvzE/s1600/1.jpg)
10 years ago
Mwananchi22 Nov
TRA yalia na misamaha ya kodi
10 years ago
Habarileo08 Dec
TRA: Tutawatupa jela wakwepa kodi
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Rished Bade amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria ya ulipaji kodi halali, hivyo asiyetaka kulipa kodi kwa makusudi lazima atakutana na mkono wa sheria na kutupwa jela.
9 years ago
Habarileo07 Jan
Makusanya ya kodi TRA yafikia trilioni 1.4/
MAMLAKA ya Mapato (TRA) imeshakusanya Sh bilioni 11.9 kutoka kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekwepa kulipa kodi. Kiasi hicho ni sehemu ya Sh bilioni 80 zinazotakiwa kukusanywa kutoka kwa wafanyabiashara hao wanaodaiwa waliondosha kontena katika bandari za nchi kavu kinyume cha taratibu za forodha.
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Kodi ya TRA yazua kizaazaa Bakwata
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi, ameunda timu ya uchunguzi ambayo itapitia upya mikataba yote mibovu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Pamoja na hali hiyo pia ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala wa Bakwata, Makao Makuu, Karim Majaliwa kupisha uchunguzi juu ya kadhia ya magari 82 na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mufti Zuberi ilieleza...