Mzozo wanukia TFF, Bodi ya Ligi
Ni dhahiri kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na klabu 12 za Ligi Kuu zimeingia kwenye mzozo wa kimasilahi kutokana na makato ya asilimia tano kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya soka nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FgEVhZFnvDo/XnC5fP2H3qI/AAAAAAALkFQ/YCMRdMRUuIsOZN-9IeADeiKNq97DC0SpwCLcBGAsYHQ/s72-c/cd91494e-7468-410f-99b0-f6dd6981f07a.jpg)
TFF, Bodi ya Ligi Kukutana kesho
![](https://1.bp.blogspot.com/-FgEVhZFnvDo/XnC5fP2H3qI/AAAAAAALkFQ/YCMRdMRUuIsOZN-9IeADeiKNq97DC0SpwCLcBGAsYHQ/s640/cd91494e-7468-410f-99b0-f6dd6981f07a.jpg)
10 years ago
Mwananchi13 Oct
TFF, Bodi ya Ligi zimalize mvutano kwa maridhiano
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Busara itumike kumaliza mzozo wa kodi ya TFF
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Bodi ya Ligi yahusishwa
NA MWANDISHI WETU
BODI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (TPLB) imehusishwa kwenye uvurundaji wa utoaji wa tuzo kwa waliofanya vizuri msimu uliopita wa ligi hiyo.
Kampuni ya Vodacom Tanzania ilifanya hafla ya utoaji wa tuzo hizo Alhamisi iliyopita jioni baada ya zoezi hilo mijadala mikubwa imeibuka kwenye vijiwe vya soka kutokana na baadhi ya waliopewa tuzo kutokidhi vigezo.
Habari za uhakika zilizolifikia MTANZANIA jana zimedai kuwa baadhi ya wajumbe wa bodi ya ligi, walitaka kulinda...
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Bodi ya Ligi kitanzini
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Bodi ya Ligi yaionya Yanga
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Bodi ya Ligi Kuu kupangua ratiba
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Malinzi aitunishia msuli Bodi ya Ligi
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema kuwa Bodi ya Ligi haina mamlaka ya kupinga maamuzi yeyote ya kamati ya utendaji ya TFF, chombo pekee chenye uwezo wa kupinga maamuzi hayo...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Azam Media yamwaga mamilioni Bodi ya Ligi
KAMPUNI ya Azam Media Ltd yenye mkataba wa haki za matangazo ya televisheni ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania, imeikabidhi Bodi ya Ligi (TPL Board) sh milioni 462, ambazo ni...