Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya Ligi Kuu kupangua ratiba

Bodi ya Ligi nchini imesema italazimika kubadili ratiba ya Ligi Kuu nchini ili kuziwezesha timu za Bara kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi linalotarajiwa kuanza mapema mwakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Makocha wahofia ratiba Ligi Kuu

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikiingia kwenye raundi ya pili jana na leo, makocha wa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hiyo wameanza kuingiwa wasiwasi na ratiba yake wakidai ina athari kiufundi na kiafya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp-Ratiba Ligi kuu England.

Jurgen Klopp amelalamikia mfululizo wa mechi wakati wa Krismasi hadi kuingia Mwaka Mpya ya Ligi Kuu England

 

10 years ago

Vijimambo

Magwiji Barca wapangua ratiba Ligi Kuu.

Rais wa TFF, Jamal Malinzi.
Ujio wa nyota wa zamani wa klabu ya Barcelona ya Hispania umechangia kupanguliwa kwa ratiba ya mechi mbili za Ligi Kuu ya Tanzania Bara licha ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuahidi kutofanya mabadiliko yoyote katika ratiba iliyotolewa hivi karibuni.

Moja ya mechi ambazo zimepanguliwa ni kati ya Simba dhidi ya Mgambo Shooting ya Tanga ambayo awali ilitarajiwa kuchezwa Jumapili Aprili 12 lakini sasa itapigwa Aprili 22, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar...

 

9 years ago

Bongo5

Ratiba ya mechi za ligi kuu Uingereza wikiendi hii

Ligi kuu ya Uingereza inatarajiwa kuendelea wikiendi hii. Mechi kali inatarajiwa kuwa kati ya vinara wa ligi, Manchester United dhidi ya Arsenal katika dimba la Emirates siku ya Jumapili. Hii ndio ratiba kamili: Jumamosi 3 Oktoba 14:45 Crystal Palace v. West Brom 17:00 Aston Villa v. Stoke 17:00 Bournemouth v. Watford 17:00 Man City v. […]

 

11 years ago

GPL

RATIBA NZIMA YA LIGI KUU ENGLAND 2014/2015

RATIBA NZIMA YA LIGI KUU ENGLAND 2014/2015. 16 August 2014 Arsenal v Crystal Palace
Burnley v Chelsea
Leicester City v Everton
Liverpool v Southampton
Manchester United v Swansea City
Newcastle United v Manchester City
Queens Park Rangers v Hull City
Stoke City v Aston Villa
West Bromwich Albion v Sunderland
West Ham United v Tottenham Hotspur 23 August 2014 Aston Villa v Newcastle… ...

 

9 years ago

Raia Tanzania

Simba, Azam zatofautiana na Yanga ratiba ligi Kuu

SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Uongozi wa Mabingwa wa ligi hiyo, Yanga umeibuka na kuipinga kwa madai kuwa haikuwatendea haki.

Ligi hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 12 kwa michezo saba ya ufunguzi kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.

Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tibohora, alisema kuwa wao hawajaridhika na upangaji wa ratiba hiyo, na inaonyesha wazi nia yao ni kutaka wafanye vibaya msimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani