Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waumini wamburuza kortini askofu wao

ASKOFU wa Kanisa la EAGT Kanda ya Magharibi, Raphael Machimu amefikishwa mahakamani na waumini wa kanisa hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN KORTINI KWA VURUGU

Hii ni safari ya kwenda kusomewa mashitaka yao.
Akina mama wakificha sura zao baada ya kutoka mahakamani.
Watuhumiwa wakiingizwa mahakamani.  …

 

10 years ago

Mtanzania

Waumini KKKT wamkataa Msaidizi wa Askofu

kanisa

Kanisa

Na Upendo Mosha, Moshi

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, wamemkataa Askofu Msaidizi wa jimbo hilo aliyekuwa amependekezwa kugombea nafasi hiyo, Mchungaji Elinganya Saria.

Tukio hilo lilitokea mjini hapa jana baada ya jina la mchungaji huyo kupendekezwa na Halmashauri Kuu ya Dayosisi kwa ajili ya kupigiwa kura.

Wakati wa tukio hilo, jina la Mchungaji Saria ndilo lilikuwa pekee lililokuwa limependekezwa, lakini...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ataka waumini kuombea nchi amani

John MwelaASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini, John Mwela amewataka waumini kukazana katika maombi kuiombea nchi isiingie katika machafuko, hasa katika kipindi hiki cha mchakato wa Katiba mpya na kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu Ruwa’ich aagiza waumini kujiandikisha kupiga kura

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Jude Thadei Ruwa’ichASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Jude Thadei Ruwa’ich amewasisitiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura litakapofika mkoani hapa ili waweze kupiga kura na kuchagua kiongozi wanayemtaka wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

Askofu wa KKT Afunguka juu Ya Waumini Wengi Kuwa WASHIRIKINA



Matukio ya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi, vikongwe na watu wa makundi mengine ya kijamii nchini, yametajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na hofu na kutojiamini kwa baadhi ya watu, hivyo kujikuta wakitumia nguvu za ziada kutaka kufanikisha mambo yao, badala ya kumtegemea Mungu.Hayo yamebainishwa kwenye Ibada ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front na Mkuu wa kanisa hilo, Askofu Dk Alex Malasusa.
Alisema hofu na kukosa uhakika ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa dini washahuriwa kuwapa muda waumini wao kuielewa Katiba Pendekezwa

DSC04751

Katibu wa jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) CCM manispaa ya Singida, Khalid Hussein, akihamasisha wakazi wa kata ya Utemini manispaa ya Singida, kusoma na kuielewa Katiba iliyopendekezwa ili waweze kutoa maamuzi sahihi wakati wa kupiga kura Tanzania iweze kupata Katiba itakayokidhi mahitaji ya miaka 50 ijayo. DSC04728 Mwenyekiti UVCCM kata ya Utemini Abudulkarimu Hussein akifungua mkutano wa hadhara ambao katibu UVCCM manispaa ya Singida,aliutumia kuhamasisha vijana na wananchi kwa ujumla...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu Geita kortini akidaiwa kutapeli

ASKOFU wa Kanisa la Logos Evangilical Ministry (LEM) mkoani Geita, Michael Elikana (32) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Nyankumbu mjini hapa akituhumiwa kujipatia sh milioni 3.5 kwa udanganyifu. Mbele ya...

 

5 years ago

Michuzi

DK.MAGUFULI AWASHANGAA VIONGOZI WA DINI WANAOZUIA WAUMINI WAO KWENDA NYUMBA ZA IBADA, AWATAKA KUSIMAMA KATIKA VIAPO VYAO

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amesema kutokana na uwepo wa ugonjwa Covid-19 kuna baadhi ya viongozi wa dini wamemsahau Mungu ambaye wamekuwa wakituhubiria waumini wao kwa siku zote.
Akizungumza leo Mei 3 mwaka 2020, Rais Magufuli amesema kuwa inashangaza unapoona viongozi wa dini wanamsahau Mungu kwasababu tu ya uwepo wa Corona."Licha ya kuapa kwa dini zao, wamemuacha Mungu na kwenda kubaki kujali  ubinadamu.Ndio wamekuwa wakihamasisha kuwaambia wamumini acheni kwenda...

 

10 years ago

Dewji Blog

IPTL, wengine wawili wamburuza Zitto mahakamani

iptl_1

.Wadai fidia ya shilingi bilioni 500

Na Mwandishi Wetu

Kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe na wengine wawili wakitaka kulipwa fidia ya Shilingi bilioni 500 kwa kashfa alizotoa kimaandishi dhidi yao.

Mbali na IPTL,  wengine waliofungua kesi hiyo mnamo tarehe 4, Septemba kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na  Kay...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani