Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waumini KKKT wamkataa Msaidizi wa Askofu

kanisa

Kanisa

Na Upendo Mosha, Moshi

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, wamemkataa Askofu Msaidizi wa jimbo hilo aliyekuwa amependekezwa kugombea nafasi hiyo, Mchungaji Elinganya Saria.

Tukio hilo lilitokea mjini hapa jana baada ya jina la mchungaji huyo kupendekezwa na Halmashauri Kuu ya Dayosisi kwa ajili ya kupigiwa kura.

Wakati wa tukio hilo, jina la Mchungaji Saria ndilo lilikuwa pekee lililokuwa limependekezwa, lakini...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

11 years ago

Habarileo

Waumini KKKT Arusha waridhika na uchaguzi

WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati, Arusha wamesema Askofu Mteule, Mchungaji Solomon Massangwa ni chaguo la Mungu.

 

11 years ago

Michuzi

KKKT: Nawaita waumini Tamasha la Pasaka

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) mkoa wa Morogoro limetoa wito kwa jamii kuungana na Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama katika kipindi hiki cha Pasaka kutumia kidogo ambacho Mungu amewajalia kuwakumbuka wenye mahitaji maalum kama vile walemavu, wajane na yatima.Wito huo umetolewa na Mchungaji Raymond Dunia wa kanisa hilo akiwa na nia ya kuwakumbusha Wakristo kuwa na moyo wa kujitolea hasa kwa wenye mahitaji maalum.   Anasema kuwa lengo la Msama kusaidia jamii...

 

5 years ago

Michuzi

Njombe:Waumini wa kanisa la KKKT watakiwa kuvaa barakoa wanapoingia kanisani

Na Amiri kilagalila, NjombeWAUMINI wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania dayosisi ya kusini,wametakiwa kuhakikisha wanavaa barakoa wanapofika ibadani.
Wito huo umetolewa na askofu wa kanisa hilo dayosisi ya kusini Dkt,George Fihavango mara baada ya ibada ya Jumapili katika kanisa la hilo usharika wa Mji Mwema mjini Makambako,ambapo amesema kuwa waumini wote wanatakiwa kuvaa barakoa wanapokuwa ibadani ili waweze kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Aidha ametoa wito kwa wakuu...

 

11 years ago

Habarileo

Masangwa askofu mpya KKKT

MCHUNGAJI Solomon Masangwa amechaguliwa kuwa Askofu mpya wa Dayosisi ya Kaskazini Kati ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).Masangwa amechaguliwa kufuatia kifo cha aliyekuwa askofu wa dayosisi hiyo, Dk Thomas Laizer, Februari 6, mwaka jana.

 

10 years ago

GPL

ALIYEZAA NA ASKOFU WA KKKT ATAKA D.N.A

Na Joseph Ngilisho, Arusha
MAPYA tena! Lile sakata la Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera kudaiwa kuzaa watoto wawili na muumini wake, Peace Sylvester limeendelea kuchukua sura mpya kufuatia mwanamke huyo kumtaka askofu wakapime D.N.A. Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera. Mbali na...

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu Shoo awa mkuu mpya KKKT

Askofu Dk Fredrick Shoo amechaguliwa kuwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), akichukua nafasi ya Dk Alex Malasusa aliyemaliza kipindi chake cha miaka minane.

 

10 years ago

GPL

AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA

Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha  kwa majadala mawili,  AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

 

10 years ago

Habarileo

Waumini wamburuza kortini askofu wao

ASKOFU wa Kanisa la EAGT Kanda ya Magharibi, Raphael Machimu amefikishwa mahakamani na waumini wa kanisa hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani