Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Shoo awa mkuu mpya KKKT

Askofu Dk Fredrick Shoo amechaguliwa kuwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), akichukua nafasi ya Dk Alex Malasusa aliyemaliza kipindi chake cha miaka minane.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Masangwa askofu mpya KKKT

MCHUNGAJI Solomon Masangwa amechaguliwa kuwa Askofu mpya wa Dayosisi ya Kaskazini Kati ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).Masangwa amechaguliwa kufuatia kifo cha aliyekuwa askofu wa dayosisi hiyo, Dk Thomas Laizer, Februari 6, mwaka jana.

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu Shoo: Tunatarajia baraza lenye sura mpya

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo amesema Watanzania wanatarajia kuona sura mpya katika baraza la mawaziri lijalo.

 

10 years ago

GPL

ALIYEZAA NA ASKOFU WA KKKT ATAKA D.N.A

Na Joseph Ngilisho, Arusha
MAPYA tena! Lile sakata la Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera kudaiwa kuzaa watoto wawili na muumini wake, Peace Sylvester limeendelea kuchukua sura mpya kufuatia mwanamke huyo kumtaka askofu wakapime D.N.A. Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera. Mbali na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Barbara Kambogi wa MultiChoice Tanzania awa mkuu mpya wa Channel ya Maisha Magic Bongo!

wpid-IMG_1530

Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi ambaye sasa ni Mkuu wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo, akiwa katika moja ya shughuli za Dstv hapa nchini  Na Andrew Chale, Modewjiblog

Aliyekuwa Meneja Uhusiao wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi amepata  nafasi ya juu katika kampuni ya MultiChoice na kuwa Mkuu mpya wa Channeli ya Maisha Magic Bongo.

Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari iliyotumwa leo, Barbara Kambogi amewashukuru na kuwapongeza wanahabari...

 

10 years ago

Mtanzania

Waumini KKKT wamkataa Msaidizi wa Askofu

kanisa

Kanisa

Na Upendo Mosha, Moshi

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, wamemkataa Askofu Msaidizi wa jimbo hilo aliyekuwa amependekezwa kugombea nafasi hiyo, Mchungaji Elinganya Saria.

Tukio hilo lilitokea mjini hapa jana baada ya jina la mchungaji huyo kupendekezwa na Halmashauri Kuu ya Dayosisi kwa ajili ya kupigiwa kura.

Wakati wa tukio hilo, jina la Mchungaji Saria ndilo lilikuwa pekee lililokuwa limependekezwa, lakini...

 

10 years ago

GPL

AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA

Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha  kwa majadala mawili,  AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda mgeni rasmi sherehe za kumsimika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Ruvuma

PG4A7273

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi Askofu wa Kanisa la Kiinhili la Kilutheri  Dayosisi ya  Ruvuma, Amon Joel Mwenda katika ibada ya kumsimika  kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo iliyofanyika mjini Songea Julai 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7279

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chilongani awa askofu Anglikana

KANISA la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika (Dodoma), limemchagua Mchungaji Dk. Dickson Chilongani kuwa Askofu wa sita wa Dayosisi hiyo katika mkutano Maalum. Dk .Chilongani amechaguliwa kufuatia kifo cha aliyekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani